Tuesday, 10 June 2014

UMUHIMU WA NYANYA KATIKA KUZUIA MAGONJWA YA MOYO

Pamoja na nyanya kuwa kiungo muhimu sana katika mbonga na vyakula mbalimbali pia zina uwezo wa kuzuia magonjwa ya moyo, mshutuko na kiharusi.

 Zaidi ya kukupa vitamini nyanya ina antioxidanti aina ya lycopene ambayo huzuia kusinyaa na kunywea kwa mishipa ya damu ili kusaidia damu kufika vizuri katika maeneo ya mwili na hivyo kuzuia magonjwa ya moyo. Pia huzuia mafuta aina ya cholesterol kuganda na kuziba mishipa ya damu inayokwenda katika moyo na ubongo.
Ikumbukwe kuwa chemikali hii aina ya lycopene iko katika matunda na mboga za majani mbali mbali na ndio huyapa rangi yake na husaidia kukulinda dhidi ya magonjwa ya moyo.


KWA MSAADA ZAIDI BONYEZA HAPA AU ACHA COMMENT YAKO CHINI

No comments:

Post a Comment

.