Matumizi ya sukari kupita kiasi katika vyakula na vinywaji huweza kuhatarisha afya yako kwa kukuweka katika hatari ya kuugua magonjwa ya moyo na kisukari.
Friday, 29 May 2015
TAMBUA UMRI SAHIHI WA KUMTAHIRI MTOTO WA KIUME.
Kutahiriwa kwa mtoto wa kiume ni jambo ambalo humkinga na magonjwa na maambuzi mbali mbali kipindi cha utoto hata kufikia utu uzima. Jambo ili hufanywa kwa njia tofauti na umri tofauti katika jamii kutokana na maamuzi ya wazazi,
Thursday, 28 May 2015
KAMA UNASUMBULIWA NA TATIZO LA HARUFU MBAYA YA MDOMO.
Kuwa na harufu mbaya mdomoni ni kitendo kinachoweza kuathiri
maisha ya mtu kimahusiano si kwa mpenzi tu bali marafiki na jamii kwa
ujumla. Pia kuwa na harufu mbaya mdomoni hupunguza mtu kuwa lovable
kwani hata unapoongea wengi watakwepa kuongea direct na wewe kwa sababu
ya harufu mbaya inayotoka mdomoni.
MATUMIZI YA ARVs YANVYOWEZA KUOKOA MAISHA.
Matumizi ya dawa za kurefusha maisha (ARVs) kwa waonjwa wa Ukimwi ni changamoto na wagonjwa wengi huchelewa kujigundua na kuanzisha dawa mapema ili kuongeza na kuzuia kushuka kwa CD4 ambazo humkinga mgonjwa na maambukizi na magonjwa nyemelezi ambayo udhoofisha afya ya mgonjwa na kusababisha vifo.
KAMA UNASUMBULIWA NA TUMBO KUJAA GESI NA KUUNGURUMA
Kama unasumbuliwa na tatizo la tumbo kujaa gesi na kabla hawajafikahosipitali jaribu yafuatayo:-
Kula milo midogo midogo mara kwa mara na kuepuka vyakula na vinywaji vyenye gesi
Kula milo midogo midogo mara kwa mara na kuepuka vyakula na vinywaji vyenye gesi
TAHADHARI JUU YA MATUMIZI YA DAWA ZA PARACETAMOL
Wanawake wajawazito wanapaswa kutahadhari zaidi wanapotumia dawa zozote zilizo na chembechembe za Paracetamol.
Utafiti
wa Wanasayansi nchini Uingereza umebaini kuwa unywaji wa dawa zenye
kiungo cha Paracetamol kwa kipindi cha siku saba unapunguza uwezo wa
uzalishaji wa homoni za kiume ''testosterone''.MADHARA YA POMBE KWA AFYA YA MOYO WAKO.
Matumizi ya pombe kupita kiasi huathiri mfumo wa damu na utendaji kazi katika moyo. Hii hutokana na kuvimba na kuongezeka kwa kuta za moyo ambazo hushindwa kusukuma damu vizuri hivyo kuathiri sehemu muhimu za binadamu kama ubongo, figo na ini.
UVUTAJI WA SIGARA UNAVYOKUWEKA KATIKA HATARI YA KUUGUA SARATANI YA KIBOFU
Kupunguza na kuepuka uvutaji wa sigara kunaweza kukulinda na kukuepusha na saratani ya kibofu ambayo husababishwa na kemikali ya nicotine ambayo ni sumu kwenye moshi wa sigara na inayoathiri kibovu na kuzodhoofisha mishipa ya damu.
Wednesday, 27 May 2015
TAMBUA NA JIKINGE NA UGONJWA WA SHAMBULIZI LA MOYO(HEART ATTACK)
Moja ya magonjwa hatari sana ambayo yanaweza kumpata mtu yoyote ni ugonjwa wa shambulizi la moyo. Huu ni miongoni mwa magonjwa yanayoongoza kwa kusababisha vifo vya wanaume na wanawake.
Kwa kawaida, ugonjwa huu hutokea pale ambapo sehemu ya nyama ya moyo inapoharibika au kufa kutokana na kukosa damu ya kutosha.
Tuesday, 26 May 2015
New research reveals how herpes simplex 1 hide from the immune system.
Researchers from the University of Cambridge in the UK, and two German institutions: the Julius-Maximilians- Universität Würzburg and the Ludwig-Maximilians-Universität München, report their findings in the journal Nature Communications.
UZITO MKUBWA(OBESITY) UNAVOHATARISHA AFYA YAKO.
Kuwa na uzito mkubwa katika umri mdogo kunaweza kusababisha ugonjwa wa saratani ya utumbo hapo baadae
Watafiti walikuwa wakiwafuatilia wanaume takriban 240,000, Raia wa Sweden kwa miaka 35.Uchambuzi uliochapishwa kwenye jarida moja, unaonyesha kuwa vijana wadogo walikuwa hatarini mara mbili zaidi kupata maradhi ya Saratani ya utumbo, takwimu zilikuwa juu zaidi kwa vijana wadogo wenye uzito mkubwa .
MAAJABU YA MZEE ALIYEISHI MIAKA 180
Mzee Muhashta Murasi ambaye alikuwa
fundi viatu aliyestaafu kazi hiyo mwaka 1953 akiwa na umri wa miaka 122,
amesema anakisubiri kifo kwa hamu kubwa sana kwani amechoka kuishi.
Subscribe to:
Posts (Atom)