Thursday, 28 May 2015

MADHARA YA POMBE KWA AFYA YA MOYO WAKO.

Matumizi ya pombe kupita kiasi huathiri mfumo wa damu na utendaji kazi katika moyo. Hii hutokana na kuvimba na kuongezeka kwa kuta za moyo ambazo hushindwa kusukuma damu vizuri hivyo kuathiri sehemu muhimu za binadamu kama ubongo, figo na ini.
Hata hivyo tafiti zinaonyesha kuwa uwaathiri zaidi wanawake, wazee ambao, watu wenye unene kupita kiasi na wagonjwa wa kisukari hivyo ni muhimu kupunguza matumizi ya pombe kupita kiasi.
BOFYA HAPA KULIKE PAGE NA WAELIMISHE MARAFIKI

No comments:

Post a Comment

.