Friday, 29 May 2015

TAMBUA UMRI SAHIHI WA KUMTAHIRI MTOTO WA KIUME.

Kutahiriwa kwa mtoto wa kiume ni jambo ambalo humkinga na magonjwa na maambuzi mbali mbali kipindi cha utoto hata kufikia utu uzima. Jambo ili hufanywa kwa njia tofauti na umri tofauti katika jamii kutokana na maamuzi ya wazazi,
imani za kidini na kitamaduni. Wataalamu wa afya wanaamini muda sahihi wa kumtahiri mtoto wa kiume ni kuanzia miaka 2 mpaka 3 kwani husaidia kupunguza hatari na madhara yanayotokana na kuvuja damu nyingi, maumivu, na ganzi inayotumika. Kwa kipindi hiki ngozi ya mtoto katika sehemu hizi huwa ni laini  na haijajishikiza kwenye kichwa cha uume  na huwa na kiasi kidogo cha mishipa ya damu.
BOFYA HAPA KULIKE PAGE N A WASHIRIKISHE MARAFIKI

No comments:

Post a Comment

.