Matumizi ya sukari kupita kiasi katika vyakula na vinywaji huweza kuhatarisha afya yako kwa kukuweka katika hatari ya kuugua magonjwa ya moyo na kisukari.
Hii inatokana na kuongeza kiasi kikubwa cha sukari na cholestero mwilini ambazo huaribu mishipa ya damu na kuongeza uzito kupita kiasi.
BOFYA HAPA KULIKE PAGE NA WAELIMISHE MARAFIKI.
No comments:
Post a Comment