Monday 6 July 2015

DAWA MPYA YA VIRUSI VYA UKIMWI IKO HAPA



Kuna maisha hata kama umeambukizwa bado unaweza kuishi maisha marefu kama utatimiza yafuatayo:

1. Kupima CD4 walau kila baada ya miezi mitatu.
2. Kuhakikisha haupati maambukizi mapya kwa kutumia kinga au ARVs
3. Kula vizuri mlo kamili
4. Kufanya mazoezi na kuhakikisha hauchoshi mwili unapata muda wa kupumzika na kupunguza mawazo kwani wengi wanaathirika na msongo wa mawazo na hili ni tatizo kubwa si kwa waliombukizwa badi linaathiri kiafya hata kwa wale ambao hawajaambukizwa msongo wa mawazo ni tatizo sugu. 
Pia unaweza kuepeuka tatizo hili kwa kufanya yafuatayo:-
1. Kujisomea vitabu vya hadithi
2. Kuangalia sinema muda wa ziada
3. Kujijumuisha na marafiki
4. Kujishughulisha na kazi zozote za ujasiliamali au kusaidia nyumbani nk

No comments:

Post a Comment

.