Thursday 9 July 2015

TAMBUA SABABU ZITAKAZOKUFANYA KUZEEKA MAPEMA.

Utafiti umebaini kuwa kuna umri halisia na umri wa kibayolojia ambao hutokana na vyakula, unene, utaraibu wa mtu na mifumo ya maisha ambayo humfanya mtuu kuzeeka au kubaki kijana.


Si ajabu kumpata mtu mwenye umri wa miaka 38 lakini kibayolojia ana umri wa miaka 25 .
Aidha kuna wengine wenye umri huohuo wa miaka 38 lakini ana umri wa miaka 60 kibayolojia
KUJUA ZAIDI BOFYA HAPA NA LIKE AFYA KWANZA

No comments:

Post a Comment

.