Friday, 28 August 2015

KAMA UNASUMBULIWA NA FANGASI SEHEMU ZA SIRI

Candida albicanas ni aina ya fangas wanaoweza kuathiri sehemu mbalimbali ya mwili wa binadamu. Mara nyingi hushambulia sehemu laini za mwili (mucuos membrane), pia wanaweza kuathiri ngozi na kusambaa kwenye damu hasa kwa wagonjwa wenyewe upungufu wa kinga.

Saturday, 22 August 2015

Soma Madhara ya kufanya mapenzi kipindi cha Hedhi (Period)

Kuhusu kujamiiana wakati wa hedhi; medically hakuna madhara yeyote yaliyothibitishwa kiafya kutokea kutokana na mtu/watu kujamiiana wakati wa hedhi, ISIPOKUWA zipo hatari zinazojulikana, nazo ni urahisi wa kuambukizwa magonjwa ya zinaa, ukiwemao UKIMWI japo vitabu vya dini kama biblia inakataza kujamiana wakati wa hedhi.

MWANAMKE HUPASWI KUONA AIBU KUFANYA MAMBO HAYA.

Yafuatayo ni mambo ambayo wanawake wanatakiwa kuyafanya huru, bila uoga na aibu kutokana na maumbile yao ambayo huwafanya kuwa na hofu katika maeneo mbalimbali-

KUFANYA KAZI BILA KUPUMZIKA HUKUWEKA KATIKA HATARI YA KUPATA KIHARUSI NA MAGONJWA YA MOYO.

Tafiti zinaonyesha kuwa kufanaya kazi zaidi ya masaa 55 kwa week hukuweka katika hatari ya kupata ugonjwa wa kiharusi pamoja na magonjwa ya moyo na akili.

Monday, 10 August 2015

HII NI TAHADHARI KWA WAVUTA BANGI.

Utafiti unaonyesha kuwa kula maembe kabla na wakati wa kuvuta bangi huweza kusababisha madhara zaidi kwa kuogeza kasi ya utendaji kazi na kiwango chake katika mwili wa binadamu.
BOFYA HAPA KULIKE PAGE NA UNGANA NASI KILA SIKU KWA ELIMU YA AFYA.

Sunday, 9 August 2015

Mambo 5 muhimu ambayo mwanamke/msichana hutakiwi kuyaonea aibu.

Yafuatayo ni mambo ambayo wanawake wanatakiwa kuyafanya huru, bila uoga na aibu kutokana na maumbile yao ambayo huwafanya kuwa na hofu katika maeneo mbalimbali-

Friday, 7 August 2015

Pombe inavoongezewa nguvu za kiume nchini China

Maafisa wanaohusika na ubora wa vyakula wanasema, watengenezaji wa Pombe nchini humo waliongeza dawa ya kuongeza nguvu za kiume yaani

Monday, 3 August 2015

Michezo ya TV, computer na simu ni hatari kwa watoto wako.

Michezo ya tv, kompyuta na simu kwa watoto wadogo mara kwa mara husababisha matatizo mengi shule na kuharibu uwezo wao wa kawaida (Intelligence) ikiwa ni pamoja na kushindwa, kijifunza kusoma vizuri na kwa haraka, kushindwa kutamka na kuandika maneno vizuri hata kama mwanzo alikuwa na uwezo huo.

Marriage causes dramatical decrease in heavy Alcohol drinking.

.