Saturday 22 August 2015

MWANAMKE HUPASWI KUONA AIBU KUFANYA MAMBO HAYA.

Yafuatayo ni mambo ambayo wanawake wanatakiwa kuyafanya huru, bila uoga na aibu kutokana na maumbile yao ambayo huwafanya kuwa na hofu katika maeneo mbalimbali-


1. Kuvaa bra na nguo za michezo, hii inasaidia mwanamke kubaki na umbo lake asilia au kurekebisha umbo kutokana na michezo na mazoezi anayofanya japo wanawake wengi ulionea sana aibu na kuogopa kuvaa nguo hizi mbele za watu kutokana na maumbile yao.
2. Kufanya mapenzi kwenye mwanga, hii huwasaidia wanawake wengi kujenga kujiamini, kujikubali na kupunguza aibu mbele ya wenza wao.
3. Kula vitu vidogo dogo kama koni, ice cream, chocolate n.k huwaongezea mvuto pia.
4. Kuvaa nguo za beach, hii itakusaidia kufurahi upepo wa bahari na kuwa huru kuogelea.
5. Jipende mwenyewe kila mwanamke ana haki ya kujipenda na kuthamin uzuri wake alionao ndani na nje bila aibu.

No comments:

Post a Comment

.