Saturday 22 August 2015

KUFANYA KAZI BILA KUPUMZIKA HUKUWEKA KATIKA HATARI YA KUPATA KIHARUSI NA MAGONJWA YA MOYO.

Tafiti zinaonyesha kuwa kufanaya kazi zaidi ya masaa 55 kwa week hukuweka katika hatari ya kupata ugonjwa wa kiharusi pamoja na magonjwa ya moyo na akili.
Hii hutokana na moyo, ubongo, neva za fahamu kufanya kazi kwa muda mrefu bila kupumzika hivyo kupunguza huwezo wa kufiri, kutoa maamuzi na kupunguza mzunguko wa damu na chakula kwenye mfumo wa fahamu.
BOFYA HAPA NA LIKE PAGE KUUNGANA NASI KILA SIKU

No comments:

Post a Comment

.