Kuhusu
kujamiiana wakati wa hedhi; medically hakuna madhara yeyote
yaliyothibitishwa kiafya kutokea kutokana na mtu/watu kujamiiana wakati wa
hedhi, ISIPOKUWA zipo hatari zinazojulikana, nazo ni urahisi wa
kuambukizwa magonjwa ya zinaa, ukiwemao UKIMWI japo vitabu vya dini kama biblia inakataza kujamiana wakati wa hedhi.
Cha msingi,unapotaka kufanya tendo hili wakati wa hedhi, ni vema
ukashirikiana na mtu unayefahamu hali yake kiafya, preferably
mkeo/mwenza wako muaminifu(aliyepima?), na kabla ya tendo ni vizuri
akanawa vizuri hii itapunguza uwezekanao wa ku soil bed sheets na damu
(but the good news ni; damu ya hedhi haigandi na haiwezi kuweka
permanent stains kwenye shuka, sabuni kidogo, imetoka!)
Pia wataalamu wenaongeza kuwa,wakati wa hedhi wanawake wengi hupata raha
zaidi kuliko kipindi kingine, pengine kwa kuwa huwa relaxed, na bila
hofu ya kupata mimbaKitaalam wanasema hakuna madhara ya kitabibu zaidi ya STDs. Wengine wanasema inasaidia ku-relieve cramps.
Ila
No comments:
Post a Comment