Monday 3 August 2015

Michezo ya TV, computer na simu ni hatari kwa watoto wako.

Michezo ya tv, kompyuta na simu kwa watoto wadogo mara kwa mara husababisha matatizo mengi shule na kuharibu uwezo wao wa kawaida (Intelligence) ikiwa ni pamoja na kushindwa, kijifunza kusoma vizuri na kwa haraka, kushindwa kutamka na kuandika maneno vizuri hata kama mwanzo alikuwa na uwezo huo.
Watoto hawa hupatwa na matatizo haya japo wenyewe huwa na hamu ya kufanya hivyo na huwa na matatizo zaidi katika somo la hisabati.
BOFYA HAPA KULIKE PAGE NA WAELIMISHE MARAFIKI.

No comments:

Post a Comment

.