Monday 14 April 2014

JE WAJUA?: MAPENZI HUFANANISHWA NA MADAWA YA KULEVYA.

Katika hali isiyo ya kawaida kuzama katika mahusiano ya kimapenzi huchukua dakika nne tu kwa binadamu na furaha anayokuwa nayo ni sawa na mtu aliyekunywa dozi ya dawa aina ya Cocaine kwani huleta hisia sawa katika maeneo 12 ya ubongo.


Pia kungalia picha ya mtu unayempenda usaidia kupunguza maumivu ya mapenzi ambapo husaidia ubongo kutoa hormoni aina ya oxytocin na serotonin ambazo upunguza maumivu sambamba na kupunguza hormoni ya cortisol ambayo husababisha mawazo na maumivu.

No comments:

Post a Comment

.