Sunday 27 April 2014

TATIZO LA WANAUME KUWA NA DALILI ZA UJAUZITO:

   sympathetic pregnancy ambapo mwanaume hupata dalili sambamba na mwenza ambaye ni mjamzito hali inayosababishwa na matatizo ya psychologia na mabadiliko ya hormoni katika mwili wa mwanaume. wataalamu wa psycholojia wanaeleza kuwa hali hii huweza kusababishwa na mawazo kwa baba juu ya mtoto ambaye yuko tumboni pamoja na kumuonea huruma mwenza wake. kwa upande mwingine baadhi ya dalili huweza sababibwa na mwenza kutokubali au kuamini kama mama ni mjamzito. 

Inasemekana kuwa baadhi ya wanume huwa na dalili za ujauzito pale mwenza wake anapokuwa mjamzito ambazo ni pamoja na maumivu ya tumbo na mgongo, kuongezeka uzito, kupoteza hamu ya kula, kichefuchefu, kulala mara kwa mara na kuongezeka kwa matiti ambamba na maumivu makali kabla na wakati wa wake zao kujifungua. Kitaalamu hali hii huitwa
   Pia utafiti unaonesha kuwa mabadiliko ya hormoni wakati wa tendo la ndoa kama prolactin, cortisol, estradiol na testerone katika mwili wa mwanaume uchangia kwa kiasi kikubwa dalili hizi.
          Matibabu yake
Kwa wanaume wanatakiwa kuelewa kuwa ni dalili hizi ni  kawaida a hutokea mara chache hivyo kukubali hali na kuepuka mawazo kwa kuongea na mwenza na kumsaidia kuhudhuria klniniki na kupata ushauri kutoka kwa wataalamu wa afya ili kujiandaa vizuri kuitwa baba.
Pia hutaweza kushauriwa baadhi ya dawa na vyakula kwa ajili ya  kuzuia dalili hizi kwa mama mjamzito na na wewe mwenye.
WASILIANA NASI KWA MSAADA ZAIDI KUHUSU AFYA YAKO




No comments:

Post a Comment

.