Kero la kuzagaa kwa dawa bandia
nchini Tanzania ni hai, na kikubwa ni kwamba nyingi ya dawa hizo ni zile
zinazotumiwa kutibu ugonjwa wa Malaria.
Changamoto hapa ni kwamba mamilioni ya watanzania huugua ugonjwa huu kila mwaka huku maelfu wakifariki.Wapate wapi tiba?Je ulijua kama wafanyabiashara wanaoiona hali hii kama pengo la kibiashara na nafasi kwao kuuza dawa bandia?
KWA TAARIFA KAMILI TEMBELEA http://www.bbc.co.uk/swahili/medianuai/2014/04/140422_habanahaba_dawabandia.shtml NA WASHIRIKISHE WENZIO KUCHUKUA TAHADHARI
No comments:
Post a Comment