LISHE INAYOFAA KATIKA MULO WA USIKU
Usiku mwili unahitaji protein zaidi ili kupata matofali
(amino acids) ya kuujenga mwili na kurekebisha sehemu za mwili
zilizoharibika na kuumia wakati wa mchana. Wakati wa kulala mwili
hauhitaji chakula kingi cha kutia nguvu mwilini maana kazi zinazohitaji nguvu
nyingi hakuna. Hivyo, ni marufuku kula sahani ya ugali/ubwabwa na kwenda
kupanda kitandani kulala wakati huo huo, maana chakula hakitasangwa
vizuri na mwili utatengeneza sumu nyingi sana na kuwa na uwekezano wa
kuota ndoto mbayambaya tu usiku kucha.
No comments:
Post a Comment