Monday 19 January 2015

UKOSEFU WA VITAMINI A UNAKUWEKA KATIKA HATARI YA KUUGUA KISUKARI

Tafiti zinaonyesha kuwa ukosefu au upungufu wa vitamini A mwilini ambayo hutusaidia kuona vizuri pia huweza kusababisha ugonjwa wa kisukari, Hii inatokana na kuharibika au kupungua kwa uzalishaji wa seli zinazotengeneza insulini ambayo hurekebisha kiwango cha sukari mwilini. Aina hii ya vitamini ambayo inapatikana katika samaki, nyama, matunda na mboga za majani husaidia utengenezaji na ukuaji wa seli zinazozalisha insulini (B cells) katika kongosho.

No comments:

Post a Comment

.