Saturday 17 January 2015

SOMA MADHARA YA SUKARI NA UYAEPUKE MPEMA

Matumizi ya sukari kupita kiasi katika vyakula na vinywaji laini huongeza hatari ya kushambuliwa na matatizo ya saratani, unene kupita kiasi, kuzeeka mapema, na magonjwa ya moyo.
Tunaweza kuepuka matatizo haya kwa kupunguza kiasi cha sukari tunachotumia kila siku pamoja na kutumia sukari ya asili 'fructose' inayotokana na mimea, matunda na mboga za majani. 
BOFYA HAPA KULIKE PAGE NA WAELIMISHE MARAFIKI.

No comments:

Post a Comment

.