Monday 19 January 2015

UGOMVI ULIOSABABISHA MUME KUMCHINJA NA KUMKATAKATA MKEWE.

Naveed Ahmed, mwenye umri wa miaka 41,amekiri kumchinja na kumkatakata mkewe ambaye ni mama wa watoto wake wawili.

Mwili wa Bi Ahmed ulipatikana na polisi tarehe 27 mwezi Mei baada ya majirani kuripoti kwamba walisikia wawili hao wakigombana.
Uchunguzi wa kifo chja mwanamke huyo ilisema kuwa alipatikana akiwa amekatwa mikono , kudungwa kisu na kisha kukatwakatwa
Bwana Ahmed anatarajiwa kuhukumiwa tarehe 28 mwezi huu katika mahakama aya Old Bailey.
Inaarfiwa jaji amemuonya kwamba huenda akafungwa jela kwa mauaji hayo.
Awali Ahmed alikana mauaji ya mkewe wakati kesi ilipoanza kusikilizwa mwezi Oktoba.

No comments:

Post a Comment

.