Friday, 30 January 2015
LISHE INAYOFAA KATIKA MULO WA USIKU
Usiku mwili unahitaji protein zaidi ili kupata matofali
(amino acids) ya kuujenga mwili na kurekebisha sehemu za mwili
zilizoharibika na kuumia wakati wa mchana. Wakati wa kulala mwili
hauhitaji chakula kingi cha kutia nguvu mwilini maana kazi zinazohitaji nguvu
nyingi hakuna. Hivyo, ni marufuku kula sahani ya ugali/ubwabwa na kwenda
kupanda kitandani kulala wakati huo huo, maana chakula hakitasangwa
vizuri na mwili utatengeneza sumu nyingi sana na kuwa na uwekezano wa
kuota ndoto mbayambaya tu usiku kucha.
JIZUIE KUPATA U.T.I NA MAGONJWA YAZINGANAA
Ikumbukwe kuwa tendo la ndoa huongeza presha kwenye kibofu na
kusababisha hamu ya kukojoa kila baada ya tendo hali inayokuwezesha
kuondoa vimelea vya magonjwa mbali mbali kabla ya
Tuesday, 20 January 2015
UZURI WA MAYAI NA NYAMA YA KWARE KATIKA KUKUKINGA NA MARADHI MBALIMBALI.
Katika siku za hivi karibuni ndege aitwae kware ameanza kuwa ndege
maarufu katika baadhi ya wafugaji katika nchi yetu na kwa wale ambao walikuwa
wakiwawinda porini enzi hizo bado wana imani kuwa ndege huyu hawezi kufungwa
kama hatakimbia basi atajiua, lakini kwa wale wanaotaka kumfuga ndege huyu
mdogo mwenye mayai matamu ya madoa doa wanaweza sasa inaweza kugeuka chanzo cha
mapato na sehemu ya chakula bora kwa familia.
Monday, 19 January 2015
HAYA NI MADHARA YA KUTUMIA DAWA ZA KUONGEZA MAKALIO
Wanawake nchini Venezuela wanatumia kemikali haramu ijulikanayo kama “Silicon” kuongeza ukubwa wa makalio yao na kujiletea madhara makubwa ya kiafya
UMUHIMU WA LIMAO KATIKA KULINDA AFYA YAKO.
Limao ni kitu kidogo sana lakini faida zake huwezi kuamini kama hujawahi kutumia. Kuna faida nyingi sana za kutumia limao, hasa wakati wa asubuhi wakati mwili umekaa bila kula usiku kucha. Kati ya nyingi, hizi hapa chache za kukufanya kufikiria kuanza kutumia limao kama utapenda.
MAGONJWA YATOKANAYO NA MIFUMO WA MAISHA YANAVYOONGEZEKA KWA KASI.
WATAALAMU wa afya nchini, wameonya juu ya kuwepo kwa ongezeko kubwa la magonjwa yasiyoambukiza yanayotokana na kula vyakula vyenye mafuta mengi na hivyo kumsababishia mlaji kupata magonjwa hayo imeelezwa.
Kwa mujibu wa Taasisi ya Taifa ya Magonjwa ya Binadamu (NIMR), kutokana na tatizo hilo inahitaji kufanya uchunguzi zaidi ili kutokomeza kabisa tatizo la magonjwa ya kuambukizwa na yale yasiyo ya kuambukizwa kwa wakati mmoja.
Essential oils protect from both bacteria, viruses, fungi and Cancer
Main component of essential oils, terpenes can inhibit the growth of different cancer cells. They shed light upon the molecular mechanisms that resulted in cancer cells stop growing, following the application of (-)-citronellal, and they proved that the olfactory receptor OR1A2 is the crucial molecule for that purpose. In future, the olfactory receptor could serve as target for liver cancer
UKOSEFU WA VITAMINI A UNAKUWEKA KATIKA HATARI YA KUUGUA KISUKARI
Tafiti zinaonyesha kuwa ukosefu au upungufu wa vitamini A mwilini ambayo hutusaidia kuona vizuri pia huweza kusababisha ugonjwa wa kisukari,
MWANAMKE ALIYEJIFUNGUA NA KUMCHOMA MOTO MTOTO KATIKA YA BARABARA.
Mwanamke nchini Marekani anashikiliwa kwa tuhuma za mauaji baada ya kuamua kumweka mtoto wake aliyetoka kujifungua katikati ya barabara kisha kumchoma moto.
UGOMVI ULIOSABABISHA MUME KUMCHINJA NA KUMKATAKATA MKEWE.
Naveed Ahmed, mwenye umri wa miaka 41,amekiri kumchinja na kumkatakata mkewe ambaye ni mama wa watoto wake wawili.
KWA WANOPENDA UREMBO BANDIA SOMA KILICHOMKUTA MREMBO HUYU
Andressa Urach mshindi wa pili katika mashindano ya mrembo mwenye makalio mazuri na miguu mizuri zaidi kupitia kwenye mtandao wa internet alidungwa sindano za kemikali ili kufanya makalio yake kuwa makubwa pamoja na kuongeza ukubwa wa miguu yake.
Saturday, 17 January 2015
FANYA YAFUATAYO KWA MWANAO ANAYETAPIKA AU KUHARISHA.
Jambo muhimu zaidi unaweza kufanya kama mtoto wako anatapika na kuharisha ni kuhakikisha anaendelea kunywa maji ya kunywa. Kama mtoto wako ananyonya , endelea kumnyonyesha mara kwa mara. Kama wamepungukiwa maji, , atakuwa anahitaji maji ya ziada. Uliza mfamasia au mtaalamu wa afya kama wangeweza kupendekeza kumpatia dawa ya kusaidia kutopunguka kwa maji mwilini (ORS).
SOMA MADHARA YA SUKARI NA UYAEPUKE MPEMA
Matumizi ya sukari kupita kiasi katika vyakula na vinywaji laini huongeza hatari ya kushambuliwa na matatizo ya saratani, unene kupita kiasi, kuzeeka mapema, na magonjwa ya moyo.
Wednesday, 14 January 2015
MATUMIZI YA LIFT YAPIGWA MARUFUKU KUPAMBANA NA TATIZO LA UZITO MKUBWA.
WAGANGA NA WAPIGA RAMLI KUPIGWA MARUFUKU NCHINI.
Serikali imeunda kikosi
maalumu kwa ajili ya kupambana na vitendo vya ukatili wanaofanyiwa watu
wenye ulemavu wa ngozi Albino.
Wednesday, 7 January 2015
FANYA YAFUATAYO KILA SIKU KWA AFYA BORA YA MWILI WAKO.
1. Jiwekee utaratibu wa kufunga kwa siku mbili au tatu, wakati huo
ukitumia maji ama juisi ya matunda au vyote kwa pamoja. Usile chakula
kingine chochote. Faida ya kufunga ni kuondoa sumu mwilini, ambazo
mara nyingi zimekuwa chanzo cha magonjwa.
MARADHI YA NGOZI YANYOTOKANA NA NGONO ISIYO SALAMA
Sunzua kitaalamu warts ni ugonjwa wa ngozi unaofahamika na wengi. Ugonjwa huu husababishwa na virusi ambavyo kitaalamu huitwa human papilloma virus.
Karibu asilimia 10 ya wanadamu wamewahi kupata athari za virusi vya ugonjwa huu, achilia mbali kuumwa sunzua.
Sunday, 4 January 2015
SIMANZI NCHINI KENYA BAADA YA KIFO CHA MTOTO WA RAILA ODINGA
Simanzi kubwa imeikumba familia ya waziri mkuu wa zamani wa Kenya
Raila Amolo Odinga baada ya kutoka kwa taarifa ya kifo cha mtoto mkubwa
wa mwanasiasa huyo mashuhuri nchini Kenya asubuhi ya leo .
FAHAMU KUHUSU UGONJWA WA SELI MUNDU (SICKLE CELL)
Kabla ya kuanza kuuelezea ugonjwa huu ni vyema kufahamu jinsi gani damu husafirishwa katika mwili wa
damu.
Himoglobini (haemoglobin) ni molekyuli ambayo ni sehemu ya
chembe hai nyekundu zilizoko mwilini.Himoglobini hufanya kazi ya
kuzisaidia chembe hai nyekundu kubeba hewa ya oksijenu kutoka kwenye
mapafu kwenda sehemu nyingine za mwili.
UMUHIMU WA MAYAI KWA AFYA YAKO.
Mayai yana kiwango kikubwa cha virutubisho na madini ambayo ni muhimu sana kwa afya yako. Hivi ni baadhi ya virutubisho vinavyoweza kuujenga mwili wako asa unapokula yai walau wara chache kwa wiki;-
Saturday, 3 January 2015
SABABU NA TIBA ZA UKOSEFU WA HAMU YA KUFANYA TENDO LA NDOA
Wanawake wengi nchini na duniani kwa ujumla wanasumbuliwa na tatizo la kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa ( LACK OF LIBIDO ) pamoja na tatizo la kutofika kileleni. Inasadikiwa kuwa, katika kila wanawake kumi, angalau wanne kati yao wanasumbuliwa na tatizo la kukosa hamu ya tendo la ndoa na kutofika kileleni wakati wa tendo.
SABABU ZA WANAWAKE KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA.
Sababu zinazo changia tatizo hili zimegawanyika katika makundi makuu mawili : ( A ) Sababu za Kisaikolojia { Psychological ) na ( B ) Sababu za Kimwili { Physical }
SOMA NA HII: SABABU ZA WANAWAKE KUOTA NDEVU
A. SABABU ZA KIMWILI " PHYSICAL"
1. Anaemia ( ugonjwa huu ni very common kwa wanawake kwa sababu ya kupoteza madini ya chuma wakati wa hedhi )
2. Ulevi Kupita kiasi ( Alcoholism )
3. Utumiaji wa Dawa Za Kulevya ( Kama Vile bangi n.k )
4. Magonjwa makubwa kama vile kisukari.
( Sababu zipo nyingi sana, hizi ni baadhi tu )
B : SABABU ZA KISAIKOLOJIA " PSYCHOLOGICAL "
Stress and overwork
Anxiety " Woga"
Kunyanyaswa kijinsia ama kubakwa wakati wa utotoni
Kuwa katika matatizo makubwa na mpenzi wako.
Kuishi katika mazingira magumu mfano kushare nyumba ama chumba na wazazi wako, wakwe zako ama watoto wako.
HIZI NI BAADHI YA SABABU ZINAZO WAFANYA WANAWAKE WENGI LEO HII KUKOSA HAMU YA KUFANYA TENDO LA NDOA NA KUTOFURAHIA TENDO HILO.
Hata hivyo sababu hizi hazimuhusu kila mwanamke, wanawake wengine wanasumbuliwa na tatizo hilo tangu walipo vunja ungo.
Subscribe to:
Posts (Atom)