Wednesday 19 March 2014

Sinema, michezo ya kompyuta na tv ni hatari kwa Afya ya mwanao

Siku hizi  kuangalia sinema na kucheza michezo mbali mabali ya tv na kompyuta imekua kawaida kwa watoto wadogo. Utafti unaonyesha kuwa wengi wao uathirika na kuwa na afya duni na matatizo ya kisaikolojia. 

Hata hivyo matumizi sahihi ya michezo hii na sinema chini ya mwongozo wa wazazi huweza kumsaidia mtoto kuwa na afya njema kulingana na umri wa mtoto.
soma na hii: KUKOSA USINGIZI HUPUNGUZA NGUVU ZA KIUME

No comments:

Post a Comment

.