Saturday, 6 June 2015

UNAWEZA KUJITIBU NA KUEPUKA TATIZO LA FANGASI (CANDIDIASIS) SEHEMU ZA SIRI.

Candida albicanas ni aina ya fangas wanaoweza kuathiri sehemu mbalimbali ya mwili wa binadamu. Mara nyingi hushambulia sehemu laini za mwili (mucuos membrane), pia wanaweza kuathiri ngozi na kusambaa kwenye damu hasa kwa wagonjwa wenyewe upungufu wa kinga.


Zaidi ya asilimia 78 ya wanawake hupata maambukizi ya  fungus sehemu za siri mara moja au zaidi katika maisha. Hata hivyo baadhi hupata maambukizi  mara kwa mara.Maambukizi hufanya na aina ya fangas waitwa Candida albicans. Fangasi hawa kwa kawaida hupatika katika njia ya uzazi ya mwanamke bila madhara yoyote, lakini  mabadiliko ya hormoni na upungufu wa kingi mwilini sambamba na maambukizi mbalimbali huweza kusababisha ugonjwa. 



DALILI
Ugonjwa huu unaweza kuwa na dalili mbalimbali 
Mgonjwa anaweza kusikia miwasho, kuchubuka sehemu za siri, kusikia maumivu wakati wa kujamiiana au wakati wa kukojoa na pia kutoa uchafu mweupe kama maziwa mgando ambao kwa kawaida hauna harufu.
Pi dalili hizo zinaweza kuambatana   na kuvimba mashavu ya njia ya uzazi, kidonda au mipasuko.
KWA TIBA NA USHAURI BOFYA HAPA KULIKE NA WAELIMISHE MARAFIKI

No comments:

Post a Comment

.