Friday, 5 June 2015

IDADI YA VIRUSI UNAVYOWEZA KUAMBUKIZWA KUTOTKANA NA DAMU.

Kuna idadi kubwa ya virusi katika mwili wa binadamu ambavyo hutokana na kukusana au kuchangia damu.
Baadhi ya virusi hivi huwa si hatari na huweza kuondolewa na kinga ya mwili wakati aina nyingine husababisha magonjwa sugu na saratani.

No comments:

Post a Comment

.