Monday, 15 June 2015

UNAWEZA KUJIKINGA NA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI (CERVICAL CANCER)

Kuna imani potofu kuwa saratani ya shingo ya kizazi (cervical cancer) huathiri wanawake na wasichana katika umri mdogo. Ukweli ni kwamba saratani hii huwaathiri zaidi wanawake wenye umri kuanzia miaka 65 mpaka 70 wakati vifo vingi hutokea katika umri huu,
Hata hivyo ni muhimu kwa umri wowote KUJIKINGA NA KUJILINDA dhidi ya saratani hii hatari kwa kuchunguzwa mapema na kuepuka visababishi.

No comments:

Post a Comment

.