Thursday, 11 June 2015

TATIZO LA TUMBO KUJAA GESI

Kama unasumbuliwa na tatizo la tumbo kujaa gesi na kabla hawajafikahosipitali jaribu yafuatayo:-

Kula milo midogo midogo mara kwa mara na kuepuka vyakula na vinywaji vyenye gesi

Kula maatunda yenye majimaji mengi kwa wingi mfano matikitimaji, mapapai na matunda mengine kwa ujumla yatawasaidia kusagwa kwa chakula tumboni.
Kunywa  Maji mengi kwa siku, tofauti na maji unayokunywa nusu saa kabla au baada ya kula unatakiwa kupata maji mengi zaidi kwa siku angalau lita 3 adi 4, yatakusaidia kuondokana na tatizo hili.
Tiba ya tatizo ili inapatikana hosipitali baada ya uchunguzi na vipimo hivyo usichelewe kutembelea kituo kilicho karibu nawe kama hupati

No comments:

Post a Comment

.