Thursday, 4 June 2015

KAMA UNASUMBULIWA NA MAUMIVU SEHEMU YOYOTE YA MWILI HII INAKUHUSU.


Kwa maumivu ya shingo jichue kwa mafuta ya mzaituni maji baridi au ya uvuguvugu.
Kwa maumivu yanoyotokana na na vidonda vya mdomoni chukua unga wa mjaafari uzungushe mdomoni kama robo SAA kisha uteme au unaweza kutumia asali.
Kwa maumivu ya mabega jiichue kwa mafuta ya karafuu, barafu au dawa yoyote inayotuliza maumivu.
Kwa maumivu ya sikio,jino, macho, mgongo, miguu na tumbo >>>> BOFYA HAPA  KULIKE PAGE NA WASILIANA NASI KWA MSAADA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

.