Maumivu chini ya mgongo hutokea sana kwa
kila mtu na mara nyingi huwa ni chini ya mbavu za nyuma na juu ya miguu
na huweza kusambaa mpaka kwenye kiuno na hips. Maumivu haya usikika na
kuumiza pale unapoinua kitu, kusimama, kukaa kwenye kiti au kutembea na
usababishwa na matumizi kupita kiasi ya misuli, kano, mishipa na neva za
mgongoni au kwenye pingili za uti wa mgongo kutokana na kugandamizwa
sana.
Pia huweza kusababishwa na kuvunjika au maambukizi katika pingili
za uti wa mgongo, umri mkubwa, saratani ya mifupa,uzito kupita kiasi
mawe katika figo, uvimbe na saratani ya kizazi .
TIBA YAKE IKO HAPA
No comments:
Post a Comment