Matumizi ya soda, juice na vinywaji vyenye huwa hatari sana kwa afya ya meno iwapo vitatumika mara kwa mara.
Hii inatokana na kuwa na kiasi kikubwa cha sukari na carbonate ambazo husababisha kumomonyoka na kuoza kwa meno. Hata hivyo maji na maziwa ni vinywaji ambavyo huweza kutumika kama mbadala wa vinnywaji hivi.
No comments:
Post a Comment