Kupata usingizi wa kutosha hukusaidia kuboresha afya ya akili, moyo na uzito. Zifuatazo ni baadhi ya faida kuu zinazotokana na kupata usingizi wa kutosha.
1. Huboresha na kuimalisha kumbukumbu.
2. Hupunguza maumivu ya kichwa na uchovu.
3. Hupunguza vimbe za aina mbalimbali ambazo husababisha magonjwa ya moyo, kiharusi, kisukari na uzee.
4. Huongeza ubunifu na kufanya vizuri katika mambo mapya asa unapoamka singizini.
5. Huongeza umakini na usikivu.
6. Hupunguza mawazo na msongo wa mawazo.
7. Hupunguza ajali na kusaidia kuwa na maamuzi ya haraka yenye manufaa.
LIKE PAGE NA WAELIMISHE MARAFIKI.
No comments:
Post a Comment