Wednesday, 31 December 2014

KAMA UNASUMBULIWA NA HOMA YA TAIFOD.

Homa ya Typhoid ni ugonjwa wa kuambukiza unaosababishwa na bacteria Salmonella typhi
Ni homa inayoanza taratibu na joto la mwili kupanda hadi nyuzi joto 40C,kutokwa jasho,kuharisha na mara chache kuharisha kulikochanganyika na damu. Inasambazwa kwa kula au kunywa chakula au maji ambayo yamechafuliwa na kinyesi au mkojo wa mtu mwenye maambukizi ya Typhoid

TAMBUA NA JITIBU MAPEMA UPUNGUFU WA DAMU MWILINI

Upungufu wa damu ni tatizo linalosababishwa na kupoteza damu nyingi, kupungua kwa uzalishaji wa chembe hai za da damu na uharibifu wa chembe za damu kutokana na matatizo na magonjwa mbali mbali seli mundu, ujauzito, hedhi nzito, kurithi, magonjwa sugu na Lishe duni yenye ukosefu wa madini ya folic, chuma na vitamini B12.

ZITAMBUE DALILI NA TIBA YA MINYOO

Mnyoo ni aina ya nematodi mkubwa ambaye anaishi katika matumbo ya Binadamu na anasababisha ugonjwa wa minyoo.
 Inakadiriwa kwamba karibu ya robo ya idadi ya watu duniani wameathiriwa na ugonjwa huu, na hasa umeenea sana katika maeneo ya kitropiki na maeneo yenye hali duni ya usafi. 

Tuesday, 30 December 2014

OGOPA SANA UNENE UNAWEZA KUKUPELEKEA MATATIZO HAYA.

Zifuatazo ni sababu 18 zinazokulazimu upunguze uzito wako na uogope unene. 1. Unene unaongeza kiwango cha mafuta mwilini, ambayo huongeza uwezekano wa kupata kensa.
2. Unene unaongeza mafuta mwilini, ambayo hufanya matibabu ya kensa kuwa magumu zaidi.
3. Unene huongeza mafuta mwilini ambayo huushinikiza na kuubana moyo. 

Monday, 29 December 2014

DALILI NA MADHARA YA UGONJWA WA KISONONO


Mara nyingi ugonjwa wa kisosnono huwa hauonyeshi dalili yoyote mwanzoni. Lakini ukionyesha dalili basi kwa mwanaume utasikia maumivu makali wakati wa kukojoa na kuambatana na usaha kutoka uumeni, kwa mwanamke pia dalili ni hizo hizo - maumivu wakati wa haja ndogo na kutoa usaha ukeni.

UMUHIMU WA NDIZI KWA WAGONJWA WA MOYO NA FIGO

Kula ndizi, ni muhimu sana kwa afya zetu kwani husaidia kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo na mishipa ya damu kama myocardial infarction, kiharusi na kudhibiti shinikizo la damu.

MAMBO YANAYOKUWEKA KATIKA HATARI YA KUPATA MAGONJWA YA MOYO

Haya ni baadhi ya mambo yanonayokuweka katika hatari ya kupata magonjwa ya moyo:
Umri mkubwa

MAZINGIRA TUNAYOISHI YANAVYOWEZA KUATHIRI AFYA ZETU

Mazingira ni jambo lingine linaloathiri afya. Iwapo maji tunayokunjwa na kutumia ni safi na salama, iwapo hewa tunayovuta si chafu, maeneo tunayofanyia kazi ni salama na pia nyumba tunazoishi, basi afya zetu huwa salama zaidi ikilinganishwa na watu wanaoishi kwenye maeneo yasiyo na maji safi na salama au kuvuta hewa chafu na kufanya kazi kwenye mazingira ya hatari. 

Sunday, 28 December 2014

FAHAMU KUHUSU UGONJWA MPYA WA TB NA UJIKINGE MAPEMA.

Dar es Salaam. Wakati Taifa likikabiliwa na changamoto kubwa ya uhaba wa dawa hospitalini, aina mpya na hatari zaidi ya ugonjwa wa kifua kikuu sugu imegundulika na kuathiri mtu mmoja nchini.
Mgonjwa huyo alibainika kuwa na kifua kikuu sugu kisicho na tiba, aina ya ‘Xtreme Drug Resistant’ au XDR-TB ambayo hapo awali haikuwa ikiwaathiri Watanzania.
Huyu ni mgonjwa wa pili kubainika kuwa na aina hii hatari ya TB baada ya kesi ya kwanza kuripotiwa mwaka 2011.

Friday, 26 December 2014

MAAJABU: SASA WANAUME KUWANYONYESHA WATOTO.

Dunia na maajabu yake kwenye siku nyingine, leo kuna tafiti inayosema kuwa eti wanasayansi wanasema kwa kuangalia vigezo vya kibaiolojia wanaume wanaweza kunyonyesha hivyo huenda muda mfupi ujao jukumu hilo lisiwe la wanawake peke yao.
Dr. Semkuya kutoka Hospitali ya Mwananyamala amesema mwanaume anaweza kutoa maziwa lakini sio maziwa yafaayo kwa lishe ya mtoto.

Thursday, 25 December 2014

MADHARA NA TIBA YA MAPUNYE

Katika makala yetu Leo hii tunaangalia maradhi ya fangasi yanayoshambulia kichwa au mapunye ambayo kitaalam huitwa Tinea capitis.
Mapunye  au Tinea Capitis ni nini?
Aina hii ya maradhi ya fangasi hushambulia eneo la kichwa pekee ukiacha eneo la uso. Kwa maneno mengine, aina hii ya fangasi haishambulii uso bali hushambulia eneo lililobaki la kichwa.

TAMBUA MAPEMA DALILI ZA FANGASI SEHEMU ZA SIRI.

Dalili na viashiria vya fangasi kwa wanawake ni
 1. Kuwashwa sehemu za uke

R.I.P: MAZISHI YA WATU 15 WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA MELI

Miili 15 ya raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ambao walifariki katika ajali ya meli kwenye Mkoa wa Kalemie nchini humo ilipatikana Kigoma na mazishi yamefanyika ambapo kwa upande wa Serikali Congo kulikuwa na muwakilishi ambaye ni Balozi mdogo Congo, Riki Molema.
Hizi ni baadhi ya picha wakati wa mazishi ya watu hao.

Wednesday, 24 December 2014

SOMA MADHARA 20 YA POMBE NA UYAEPUKE.

Pombe za aina zote zina kemikali ambazo baadhi ya hizo kemikali huwa ni sumu mwilini,hivyo kuacha athari ya kiafya kwa mtumiaji.Pombe inaweza ikamdhuru mtumiaji kwa kumsababishia madhara yafuatayo:

SOMA SABABU ZA MIGUU KUPASUKA (GAGA) NA UZIEPUKE

Kwa kawaida ngozi ya kwenye nyayo huwa ni kavu ukilinganisha na ngozi ya maeneo mengine mwilini. Vitu vinavyosababisha ukavu mpaka kupasuka nyayo ni

DAKTARI ALIYEKUTWA AMELEWA AVULIWA CHEO GEITA.

Geita. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita, Magreth Nakainga amemvua madaraka Mganga Mkuu wa Zahanati ya Nyakabale, Josephat Msafiri kwa kukiuka miiko ya kazi yake na kulewa wakati wa kazi.

Monday, 22 December 2014

SOMA ATHARI ZA MAGONJWA YA ZINAA NA UYAEPUKE



Miongoni mwa mambo yanayosababisha maambukizi ya magonjwa ya ngono ni pamoja na kujamiiana bila kondomu kwa njia ya ukeni, haja kubwa au mdomoni, kuzaliwa na maambukizi, kuongezewa damu yenye maambukizi, ulevi wa kupindukia unaomfanya mtu asifanye maamuzi sahihi ya kutumia kinga wakati wa kujamiiana, kurithi wajane au mira na desturi za mwanamke mwenye mali kuoa msichana mdogo na kumtafutia mwanaume wa kuzaa naye watoto (nyumba ntobu) na kujamiiana na watu wanaotumia madawa ya kulevya.

ATHARI ZA KUPIGA MSWAKI MARA KWA MARA KWA KUTUMIA NGUVU.

Kupiga mswaki mara nyingi na kwa maguvu kunaweza kupelekea kukwangua sehemu ngumu ya nje ya jino, kulifanya laini na hatimaye kuuma au hata kuvunjika.  Unashauriwa kupiga mswaki mara mbili, taratibu na kwa njia sahihi ili kusaidia meno kuwa na afya bora. BOFYA HAPA KULIKE PAGE NA WAELIMISHE MARAFIKI

NGUO ZA NDANI ZILIZOTENGENEZWA KUWALINDA WANAUME NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.

Kampuni ya Belly Armor imeanza kutengeza nguo za ndani za wanaume ambao zinawalinda kutokana na athari ya madini ya chuma yanayoweza kupunguza nguvu za kiume na kuathiri uzalishaji wa mbegu za kiume hali ambayo inaweza kusababisha mwanaume kukosa kuzalisha.
Mnamo mwaka 2011, shirika la afya duniani lilitaja madini hayo hatari ikiwemo miale inayotokana na simu za mkononi kama yenye uwezo wa kusababisha saratani ya ubongo mbali na athari nyinginezo hatari kwa mwili kiafya.

Saturday, 20 December 2014

DALILI NA TIBA YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.

Upungufu wa mbegu za kiume uchangiwa na kurithi magonjwa mbalimbali yanayoathiri mirija ya uzazi,  korodani na upungufu wa hormoni ya kiume (testosterone), kuumia kwa korodani, joto na unene kupita kiasi, ukosefu wa lishe asa zenye zinc, selium na vitamin C na D, kuvaa nguo za kubana muda mrefu, uvutaji wa sigara unyaji wa pombe na matumizi ya madawa kupita kiasi, unene kupita kiasi, maambukizi ya zinaa kwa muda mrefu, msongo wa mawazo na athari za mazingira kama sumu na mionzi.

Monday, 15 December 2014

VYAKULA HATARI SANA KWA AFYA NA KINGA YA MWILI WAKO.

TAFITI mbalimbali uliokwishafanywa unaonyesha kuwa magonjwa mengi ya saratani (cancer) yanatokana na vyakula tunavyokula kila siku katika maisha yetu. Katika siku za hivi karibuni, ongezeko la magonjwa haya limekuwa kubwa kwa sababau vyakula vinavyosababisha magonjwa hayo, ndivyo vinavyoliwa sana kuliko vile vinavyozuia.
 Wiki iliyopita tuliwaorodheshea baadhi ya vyakula vinavyoaminika kusaidia kuzuia magonjwa ya kansa ambapo wiki hii tunawaletea orodha ya vyakula vinavyoaminika kuongoza kwa kuwa chanzo cha magonjwa hayo hatari:

JITAMBUE KAMA UNA DALILI ZA KUKOSA MTOTO NA UPATE UFUMBUZI MAPEMA

Tatizo la kutofanikiwa kupata ujauzito kwa mwanamke linahusiana moja kwa moja na kuwepo na tatizo kwa mwanaume.

ATHARI YA MAGONJWA YA NGONO KWA MAMA NA MTOTO.

Athari za magonjwa ya ngono ni pamoja na kuharibika mimba mara kwa mara, mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi, ugumba, kuziba kwa mirija ya uzazi, madadiliko ya hedhi, kujifungua kabla ya mimba kutimiza muda wake, kansa ya uume,

Tuesday, 9 December 2014

SOMA FAIDA NA MATUMIZI YA KAROTI.


Faida ya matumizi ya zao la karoti pamoja na faida zinazopatikana kutokana na utumiaji wa zao hilo, ambalo kimsingi mizizi yake ndiyo hasa zao lenyewe.

MTAALAMU WA UTAFITI ALIYEMEMEZWA NA NYOKA AINA YA ANACONDA

Watu nchini Marekani wameelezea ghadhabu na hasira zao kwenye mitandao ya kijamii kufuatia utafiti wa mtaalamu wa wanyamapori Paul Roslie kumezwa na Nyoka aina ya Anaconda ili ku chunguza maumbile ya ndani ya Nyoka huyo.

UNAWEZA KUTUMIA MCHICHA NA SPINACHI KAMA DAWA NA KINGA YA MAGONJWA.

Katika mboga za majani na matunda kuna Kemikali iitwayo nitrate ambayo huboresha afya ya moyo pamoja na kukurinda dhidi ya ugonjwa hatari wa kisukari. Kemikali hii husaidia kurekebisha uzalishaji wa chembe za damu na kusaidia kutanuka na kusinyaa kwa mishipa ya damu na hupatikana asa katika majani ya maboga, spinichi mchicha n.k.
BOFYA  HAPA KULIKE PAGE NA WAELIMISHE MARAFIKI.

HIZI NI HATARI ZA VITAMBI NA UNENE KUPITA KIASI.

Tafiti zinaonyesha kuwa watu wenye vitambi, magonjwa ya presha, mafuta mengi na sukari nyingi mwilini wako katika hatari kupata maambukizi ya njia ya mkojo au magonjwa ya zinaa.

.