KWA mfano baadhi ya dawa za hospitali huathiri njia ya chakula na
kumsababishia mgonjwa ukosefu wa choo kwa muda mrefu, lakini stafeli
likitumika hurekebisha hali hiyo na kumsaidia mgonjwa kupata choo kama
kawaida.
Monday, 29 June 2015
12 Inspiring Quotes That Reduce your Stress
It is impossible for anyone to be happy at all times. Sadness strikes
when we least expect it. Some of us have the strength to overcome it
and some of us do not. There are some who wallow in self-pity and walk
around depressed, not interested in anything that would make them happy
or change their mood. The important thing to understand about life is
that change is an essential part of it and that nothing is forever.
Being depressed does not help anyone and just makes you and your day
dull. The sooner you get out of your depressed state, the better it is
for you and everyone around you. Here are some quotes that could help
you deal with depression.
HERE is Five Minutes massages which ca allevite your Pain
Massage
therapy can do wonders for your body. It not only helps to increase the blood
circulation but also reduces stress. A five minute massage can help to
alleviate pain from your body. Are you aware of some popular types of massages?
If not, then read ahead.
Tuesday, 23 June 2015
FANYA YAFUATAYO KUJITIBU MAUMIVU YA MGONGO
Maumivu chini ya mgongo hutokea sana kwa
kila mtu na mara nyingi huwa ni chini ya mbavu za nyuma na juu ya miguu
na huweza kusambaa mpaka kwenye kiuno na hips. Maumivu haya usikika na
kuumiza pale unapoinua kitu, kusimama, kukaa kwenye kiti au kutembea na
usababishwa na matumizi kupita kiasi ya misuli, kano, mishipa na neva za
mgongoni au kwenye pingili za uti wa mgongo kutokana na kugandamizwa
sana.
TAMBUA NA EPUKA MADHARA YA KULALA NA NGUO ZA NDANI
Madaktari na waalamu wa afya wanashauri
kulala bila nguo za ndani wakati wa usiku ili kuwezesha viungo vya uzazi
kupata hewa ya kutosha ili kuepuka maambukizi ya fangasi na kutoa
harufu mbaya katika sehemu za siri.
Thursday, 18 June 2015
Sababu na Tiba ya Miguu Kutoa Harufu Mbaya.
Miguu
kutoa harufu mbaya ni tatizo sugu linalowakabili baadhi ya watu katika jamii,
wengi wakiwa wanaume. Tatizo
hili linaonekana kuzidi kuwa sugu, hali inayosababisha kuwepo na harufu mbaya
hasa kwenye mikusanyiko na wengi wao huwa wagumu
kukubaliana na hali yao hata kutafuta tiba mahususi inaweza kuwaondolea kero
hiyo.
Soma Madhara ya Sigara na Uyaepuke
Kuvuta sigara ni tabia ambayo imezoeleka na
watu wengi ingawa ina madhara mengi Uvutaji
sigara huathiri mwili kwa njia tofauti na madhara yake ni makubwa
kiafya. Inakadiriwa kuwa, hadi sasa kumegunduliwa kemikali zipatazo
7,000 katika moshi wa sigara ambapo 250 kati ya hizo ni sumu na 70
zinasababisha kansa.
This is how People who drinks coffee tend to be smart.
When caffeine enters your blood stream, it acts like fuel. It also
increases the adrenaline level in your body to significantly enhance
your physical performance.
Beer helps to prevent kidney stones and minimize risk of cancer
A study conducted in Finland established that moderate daily consumption
of beer can reduce the risk of developing kidney stones by 40%. This
health benefit is attributed to beer’s high water content (about 93%)
that helps flush harmful toxins out of the body and keep the kidneys
working properly.
Hate Crime Assault Killed Pastor and Nine Others
A white
man opened fire during a prayer meeting inside a historic black church
in downtown Charleston, killing nine people, including the pastor, in an
assault authorities described as a hate crime.
Pope Francis urges on rich exploiting the poor
VATICAN CITY (AP) — Pope Francis
called Thursday for a bold cultural revolution to correct what he calls
the "structurally perverse" economic system of the rich exploiting the
poor that is turning Earth into an "immense pile of filth.
In a sweeping
manifesto aimed at spurring action in U.N. climate negotiations,
domestic politics and everyday life, Francis explains the science of
global warming, which he blames on an unfair, fossil fuel-based
industrial model that he says harms the poor most. Citing Scripture and
past popes' and bishops' appeals, he urges people of all faiths and no
faith to undergo an awakening to save God's creation for future
generations.
Tuesday, 16 June 2015
SOMA MADHARA YA SMARTPHONE NA UYAEPUKE
TAHADHARI KWA WANAWAKE WANAOFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE.
Ni kweli washauri wa masuala ya mapenzi wanaeleza kuwa, ili uweze kumshika
vilivyo mpenzi wako unatakiwa kuhakikisha unampa katika kila anachokitaka
lakini hawakuzungumzia ishu ya wewe kukubali mapenzi kinyume na maumbile.
Hawakurusu hilo kwa kuwa wanajua madhara ya kufanya hivyo. Sasa iweje leo
ukubali kufanya dhambi hiyo eti kwa kuwa mpenzi wako kataka na unampenda?
Monday, 15 June 2015
MAKUNDI YANAYOATHIRIKA NA UGONJWA WA UKIMWI>>>>SOMA NA UJIKINGE NA UMKINGE MWENZIO.
- Yafuatayo ni makundi ambayo huathirika zaidi na ugonjwa wa ukimwi:-
- Mapenzi ya jinsia moja wanaume 54%
- Watumiaji wa madawa ya kulevya (IV drug users) 32%
- Hemofilia 1%
- Wanaongezewa damu 1%
- Mapenzi ya jinsia tofauti 9%
- Watoto 1%
TAMBUA FAIDA ZA KUPATA USINGIZI WA KUTOSHA (Health Benefits of Sleep)
Kupata usingizi wa kutosha hukusaidia kuboresha afya ya akili, moyo na uzito. Zifuatazo ni baadhi ya faida kuu zinazotokana na kupata usingizi wa kutosha.
1. Huboresha na kuimalisha kumbukumbu.
1. Huboresha na kuimalisha kumbukumbu.
ZITAMBUE SABABU ZA BAADHI YA WANAUME KUWA NA UUME MFUPI AU MWEMBAMBA
Tatizo hili limekuwa likiwaathiri watu wengi sana kisaikolojia hasa
baada ya kujiona wako tofauti sana na wengine,kwa kawaida mwanaume
anatakiwa awe na uume kuanzia nchi 6-8 vinginevyo mtu huyo
anamatatizo.Zipo sababu nyingi zinazosababisha tatizo hilo ambapo baadhi
ni:-
23 WAFARIKI DUNIA KATIKA AJALI MBAYA MKOANI IRINGA
JINSI YA KUPAMBANA NA MAUMIVU MAKALI WAKATI WA HEDHI (PERIOD)
Wanawake
wengi ukabiliwa na tatizo la maumivu wanapokuwa katika siku zao ambayo
kitaalamu huitwa Dysmenorrhea. Hali hii uchukuliwa kama maumivu ya
kawaida kwa kila mwanamke isipokuwa yanapokuwa makali yakiambatana na
dalili kama kichefuchefu, kutapika, kukosa choo na nyingine nyingi
ambazo usababisha mwanamke hasifanye shughuli zake za kila siku.
Maumivu
yanapokuwa makali sana chini ya kitovu na kwa muda mrefu huweza kuwa
yamesababishwa na matatizo ya uzazi, magonjwa ya zinaa na U.T.I hivyo
unashauriwa kumuona daktari mapema.
This is how Nuts Consuption lower Mortality rate.
Regular eating of nuts protects you from neurodegenerative diseases, resipiratory diseases, diabetes premature mortality, cancer and sexual dysfunctions.
UNAWEZA KUJIKINGA NA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI (CERVICAL CANCER)
Kuna imani potofu kuwa saratani ya shingo ya kizazi (cervical cancer) huathiri wanawake na wasichana katika umri mdogo. Ukweli ni kwamba saratani hii huwaathiri zaidi wanawake wenye umri kuanzia miaka 65 mpaka 70 wakati vifo vingi hutokea katika umri huu,
Thursday, 11 June 2015
TATIZO LA TUMBO KUJAA GESI
Kama unasumbuliwa na tatizo la tumbo kujaa gesi na kabla hawajafikahosipitali jaribu yafuatayo:-
Wednesday, 10 June 2015
WARTS NI UGONJWA WA ZINAA UNAOATHIRI SANA SEHEMU ZA SIRI.
Warts Ni ugonjwa ambao pia unaweza ukatokea kwenye kiungo chochote cha mwili kama vile usoni na mikononi.
GI Diet contents impacts on autism symptoms
A low-GI diet is mainly comprised of foods such as vegetables and whole
grains that take longer to digest. Consuming carbohydrates that are slow
to digest reduces the peaks in blood sugar levels that typically follow
meals.
FDA recommends the approval of new cholesterol-lowering drug.
According to the Centers for Disease Control and Prevention (CDC),
around 73.5 million people in the US have high levels of "bad" cholesterol
known as low-density lipoprotein (LDL). What is more, less than half of
adults with high LDL cholesterol are receiving treatment for the
condition.
Tuesday, 9 June 2015
KIUNGULIA HUWEZA KUSABABISHA KANSA YA KOO>>>>SOMA HAPA NA UJIKINGE.
Kiungulia
ni hali inayojitokeza kwa mtu kuhisi maumivu ya kuwaka moto yakianzia
maeneo ya chini ya kifua yakipanda katikati ya kifua hadi kufikia katika
usawa wa kooni.
Hali
hii ya kuhisi kuwaka moto kooni au kifuani husababishwa na tindikali au
acid iliyoko tumboni ambapo tindikali hii inakuwa inapanda juu kutoka
tumboni kutokana na matatizo mbalimbali katika mfumo wa tumbo na
miongoni mwa matatizo ni mtu kuwa na tatizo la kuzalishwa tindikali
nyingi zaidi tumboni kuliko mahitaji halisi.
Saturday, 6 June 2015
8 Facts about Peptic Ulcers diseases
1. Peptic Ulcers are “sores” that frequently affect the stomach and the first part of the small intestine (duodenum).
2. Bacterial infection is the most common cause of duodenal ulcers.
3. Stomach ulcers are often a side effect of pain killers and anti-inflammatory drugs used primarily to treat arthritis.
2. Bacterial infection is the most common cause of duodenal ulcers.
3. Stomach ulcers are often a side effect of pain killers and anti-inflammatory drugs used primarily to treat arthritis.
KAMA UNASUMBULIWA NA UVIMBE SEHEMU ZA HAJA KUBWA (Haemorrhoids)
Matibabu ya tatizo la hemorrhoids ni sambamba na kuhakikisha unapata choo laini na kuondoa uvimbe katika njia hii ambayo ni pamoja na:
UNAWEZA KUJITIBU NA KUEPUKA TATIZO LA FANGASI (CANDIDIASIS) SEHEMU ZA SIRI.
Candida albicanas ni aina ya fangas wanaoweza kuathiri sehemu mbalimbali ya mwili
wa binadamu. Mara nyingi hushambulia sehemu laini za mwili (mucuos
membrane), pia wanaweza kuathiri ngozi na kusambaa kwenye damu hasa kwa
wagonjwa wenyewe upungufu wa kinga.
UPUNGUFU WA DAMU (ANEMIA) UNAVYOWEZA KUHATARISHA MAISHA YAKO.
Upungungufu wa damu husababishwa na
mambo mengi kama kupoteza damu nyingi kutokana na kuumia, hedhi, wakati
wa kujifungua, magonjwa mbalimbali na maambukizi ya minyoo. Pia huweza
kuchangiwa na magonjwa ya kurithi, matibabu ya mionzi, ukosefu wa lishe
asa yenye madini ya chuma, folic na vitamini B12.
Friday, 5 June 2015
UNAWEZA KUEPUKA SARATANI YA MATITI KWA UCHUNGUZI WA MAPEMA
Wanawake wa kati ya umri wa miaka 50 mpaka 69 wanaofanyia uchunguzi
matiti yao wanapunguza hatari ya kupata saratani ya matiti (Breast cancer) kwa asilimia
40 ikilinganishwa na wanawake ambao hawafanyi uchunguzi.
Thursday, 4 June 2015
Wednesday, 3 June 2015
SABABU NA TIBA YA CHUNUSI WAKATI WA UJAUZITO:
Wanawake wengi husumbuliwa na chunusi wakati wa ujauzito. Hii hutokana na mabadiliko ya mwili hasa kipindi cha miezi mitatu ya mwanzo wa ujauzito inayosababishwa na kuongezeka kwa homoni ambazo husababisha mwili kutengeneza mafuta mengi na kuyaifadhi katika sehemu za uso. Habari njema ni kwamba ili ni jambo la kawaida na uisha baada ya miezi mitatu ya mwanzo hivyo huitaji zaidi matunzo ya ziada.
UNYWAJI WA SODA NA JUISI NI HATARI KWA AFYA YA MENO YAKO.
Matumizi ya soda, juice na vinywaji vyenye huwa hatari sana kwa afya ya meno iwapo vitatumika mara kwa mara.
BAADHI YA VYAKULA MUHIMU AMBAVYO HUTAKIWI KUKOSA KILA SIKU.
Zifuatazo ni aina 5 za vyakula ambavyo vina kiasi kikubwa cha kemikali na lishe za asili ambayo husaidia kukukinga na magonjwa na kusaidia mwili kufanya kazi:-
Subscribe to:
Posts (Atom)