Homa ya Typhoid ni ugonjwa wa kuambukiza unaosababishwa na bacteria Salmonella typhi
Ni homa inayoanza taratibu na joto la mwili kupanda hadi nyuzi joto 40C,kutokwa jasho,kuharisha na mara
chache kuharisha kulikochanganyika na damu. Inasambazwa kwa kula au
kunywa chakula au maji ambayo yamechafuliwa na kinyesi au mkojo wa mtu
mwenye maambukizi ya Typhoid
Wednesday, 31 December 2014
TAMBUA NA JITIBU MAPEMA UPUNGUFU WA DAMU MWILINI
Upungufu wa damu ni tatizo
linalosababishwa na kupoteza damu nyingi, kupungua kwa uzalishaji wa
chembe hai za da damu na uharibifu wa chembe za damu kutokana na
matatizo na magonjwa mbali mbali seli mundu, ujauzito, hedhi nzito,
kurithi, magonjwa sugu na Lishe duni yenye ukosefu wa madini ya folic,
chuma na vitamini B12.
ZITAMBUE DALILI NA TIBA YA MINYOO
Mnyoo ni aina ya nematodi mkubwa ambaye anaishi katika matumbo ya Binadamu na anasababisha ugonjwa wa minyoo.
Inakadiriwa kwamba karibu ya robo ya idadi ya watu duniani wameathiriwa na ugonjwa huu, na hasa umeenea sana katika maeneo ya kitropiki na maeneo yenye hali duni ya usafi.
Inakadiriwa kwamba karibu ya robo ya idadi ya watu duniani wameathiriwa na ugonjwa huu, na hasa umeenea sana katika maeneo ya kitropiki na maeneo yenye hali duni ya usafi.
Tuesday, 30 December 2014
OGOPA SANA UNENE UNAWEZA KUKUPELEKEA MATATIZO HAYA.
Zifuatazo ni sababu 18 zinazokulazimu upunguze uzito wako na uogope unene.
1. Unene unaongeza kiwango cha mafuta mwilini, ambayo huongeza uwezekano wa kupata kensa.
2. Unene unaongeza mafuta mwilini, ambayo hufanya matibabu ya kensa kuwa magumu zaidi.
3. Unene huongeza mafuta mwilini ambayo huushinikiza na kuubana moyo.
2. Unene unaongeza mafuta mwilini, ambayo hufanya matibabu ya kensa kuwa magumu zaidi.
3. Unene huongeza mafuta mwilini ambayo huushinikiza na kuubana moyo.
Monday, 29 December 2014
DALILI NA MADHARA YA UGONJWA WA KISONONO
Mara nyingi ugonjwa wa kisosnono huwa hauonyeshi dalili yoyote mwanzoni. Lakini ukionyesha dalili basi kwa mwanaume utasikia maumivu makali wakati wa kukojoa na kuambatana na usaha kutoka uumeni, kwa mwanamke pia dalili ni hizo hizo - maumivu wakati wa haja ndogo na kutoa usaha ukeni.
UMUHIMU WA NDIZI KWA WAGONJWA WA MOYO NA FIGO
Kula ndizi, ni muhimu sana kwa afya zetu kwani husaidia kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo na mishipa ya damu kama myocardial infarction, kiharusi na kudhibiti shinikizo la damu.
MAZINGIRA TUNAYOISHI YANAVYOWEZA KUATHIRI AFYA ZETU
Mazingira ni jambo lingine linaloathiri
afya. Iwapo maji tunayokunjwa na kutumia ni safi na salama, iwapo hewa
tunayovuta si chafu, maeneo tunayofanyia kazi ni salama na pia nyumba
tunazoishi, basi afya zetu huwa salama zaidi ikilinganishwa na watu
wanaoishi kwenye maeneo yasiyo na maji safi na salama au kuvuta hewa
chafu na kufanya kazi kwenye mazingira ya hatari.
Sunday, 28 December 2014
FAHAMU KUHUSU UGONJWA MPYA WA TB NA UJIKINGE MAPEMA.
Dar es Salaam. Wakati Taifa likikabiliwa na changamoto kubwa ya
uhaba wa dawa hospitalini, aina mpya na hatari zaidi ya ugonjwa wa kifua
kikuu sugu imegundulika na kuathiri mtu mmoja nchini.
Mgonjwa huyo alibainika kuwa na kifua kikuu sugu
kisicho na tiba, aina ya ‘Xtreme Drug Resistant’ au XDR-TB ambayo hapo
awali haikuwa ikiwaathiri Watanzania.
Huyu ni mgonjwa wa pili kubainika kuwa na aina hii hatari ya TB baada ya kesi ya kwanza kuripotiwa mwaka 2011.Friday, 26 December 2014
MAAJABU: SASA WANAUME KUWANYONYESHA WATOTO.
Dunia na maajabu yake kwenye siku
nyingine, leo kuna tafiti inayosema kuwa eti wanasayansi wanasema kwa
kuangalia vigezo vya kibaiolojia wanaume wanaweza kunyonyesha hivyo
huenda muda mfupi ujao jukumu hilo lisiwe la wanawake peke yao.
Dr. Semkuya kutoka Hospitali ya Mwananyamala amesema mwanaume anaweza kutoa maziwa lakini sio maziwa yafaayo kwa lishe ya mtoto.
Thursday, 25 December 2014
MADHARA NA TIBA YA MAPUNYE
Katika makala yetu Leo hii tunaangalia maradhi ya
fangasi yanayoshambulia kichwa au mapunye ambayo kitaalam huitwa Tinea capitis.
Mapunye au Tinea Capitis ni nini?
Aina hii ya maradhi ya fangasi hushambulia eneo la
kichwa pekee ukiacha eneo la uso. Kwa maneno mengine, aina hii ya fangasi
haishambulii uso bali hushambulia eneo lililobaki la kichwa.
R.I.P: MAZISHI YA WATU 15 WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA MELI
Miili 15 ya raia wa Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Congo (DRC) ambao walifariki katika ajali ya meli kwenye
Mkoa wa Kalemie nchini humo ilipatikana Kigoma na mazishi yamefanyika
ambapo kwa upande wa Serikali Congo kulikuwa na muwakilishi ambaye ni
Balozi mdogo Congo, Riki Molema.
Hizi ni baadhi ya picha wakati wa mazishi ya watu hao.
Wednesday, 24 December 2014
SOMA MADHARA 20 YA POMBE NA UYAEPUKE.
Pombe
za aina zote zina kemikali ambazo baadhi ya hizo kemikali huwa ni sumu
mwilini,hivyo kuacha athari ya kiafya kwa mtumiaji.Pombe inaweza
ikamdhuru mtumiaji kwa kumsababishia madhara yafuatayo:
SOMA SABABU ZA MIGUU KUPASUKA (GAGA) NA UZIEPUKE
Kwa kawaida ngozi ya kwenye nyayo huwa ni kavu
ukilinganisha na ngozi ya maeneo mengine mwilini. Vitu vinavyosababisha ukavu mpaka kupasuka nyayo ni
Monday, 22 December 2014
SOMA ATHARI ZA MAGONJWA YA ZINAA NA UYAEPUKE
Miongoni
mwa mambo yanayosababisha maambukizi ya magonjwa ya ngono ni pamoja na
kujamiiana bila kondomu kwa njia ya ukeni, haja kubwa au mdomoni, kuzaliwa na
maambukizi, kuongezewa damu yenye maambukizi, ulevi wa kupindukia unaomfanya
mtu asifanye maamuzi sahihi ya kutumia kinga wakati wa kujamiiana, kurithi
wajane au mira na desturi za mwanamke mwenye mali kuoa msichana mdogo na
kumtafutia mwanaume wa kuzaa naye watoto (nyumba ntobu) na kujamiiana na watu
wanaotumia madawa ya kulevya.
ATHARI ZA KUPIGA MSWAKI MARA KWA MARA KWA KUTUMIA NGUVU.
Kupiga mswaki mara nyingi na kwa maguvu kunaweza kupelekea kukwangua
sehemu ngumu ya nje ya jino, kulifanya laini na hatimaye kuuma au hata
kuvunjika. Unashauriwa kupiga mswaki mara mbili, taratibu na kwa njia sahihi ili
kusaidia meno kuwa na afya bora. BOFYA HAPA KULIKE PAGE NA WAELIMISHE MARAFIKI
NGUO ZA NDANI ZILIZOTENGENEZWA KUWALINDA WANAUME NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
Kampuni ya Belly Armor imeanza kutengeza nguo za ndani za wanaume ambao zinawalinda
kutokana na athari ya madini ya chuma yanayoweza kupunguza nguvu za
kiume na kuathiri uzalishaji wa mbegu za kiume hali ambayo inaweza
kusababisha mwanaume kukosa kuzalisha.
Mnamo mwaka 2011, shirika la afya duniani lilitaja madini hayo hatari ikiwemo miale inayotokana na simu za mkononi kama yenye uwezo wa kusababisha saratani ya ubongo mbali na athari nyinginezo hatari kwa mwili kiafya.
Mnamo mwaka 2011, shirika la afya duniani lilitaja madini hayo hatari ikiwemo miale inayotokana na simu za mkononi kama yenye uwezo wa kusababisha saratani ya ubongo mbali na athari nyinginezo hatari kwa mwili kiafya.
Saturday, 20 December 2014
DALILI NA TIBA YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
Upungufu wa mbegu za kiume uchangiwa na
kurithi magonjwa mbalimbali yanayoathiri mirija ya uzazi, korodani na
upungufu wa hormoni ya kiume (testosterone), kuumia kwa korodani, joto
na unene kupita kiasi, ukosefu wa lishe asa zenye zinc, selium na
vitamin C na D, kuvaa nguo za kubana muda mrefu, uvutaji wa sigara
unyaji wa pombe na matumizi ya madawa kupita kiasi, unene kupita kiasi,
maambukizi ya zinaa kwa muda mrefu, msongo wa mawazo na athari za
mazingira kama sumu na mionzi.
Monday, 15 December 2014
VYAKULA HATARI SANA KWA AFYA NA KINGA YA MWILI WAKO.
TAFITI
mbalimbali uliokwishafanywa unaonyesha kuwa magonjwa mengi ya saratani
(cancer) yanatokana na vyakula tunavyokula kila siku katika maisha yetu.
Katika siku za hivi karibuni, ongezeko la magonjwa haya limekuwa kubwa
kwa sababau vyakula vinavyosababisha magonjwa hayo, ndivyo vinavyoliwa
sana kuliko vile vinavyozuia.
Wiki iliyopita tuliwaorodheshea baadhi ya vyakula vinavyoaminika kusaidia kuzuia magonjwa ya kansa ambapo wiki hii tunawaletea orodha ya vyakula vinavyoaminika kuongoza kwa kuwa chanzo cha magonjwa hayo hatari:
Wiki iliyopita tuliwaorodheshea baadhi ya vyakula vinavyoaminika kusaidia kuzuia magonjwa ya kansa ambapo wiki hii tunawaletea orodha ya vyakula vinavyoaminika kuongoza kwa kuwa chanzo cha magonjwa hayo hatari:
JITAMBUE KAMA UNA DALILI ZA KUKOSA MTOTO NA UPATE UFUMBUZI MAPEMA
Tatizo la kutofanikiwa kupata ujauzito kwa mwanamke linahusiana moja kwa moja na kuwepo na tatizo kwa mwanaume.
ATHARI YA MAGONJWA YA NGONO KWA MAMA NA MTOTO.
Athari
za magonjwa ya ngono ni pamoja na kuharibika mimba mara kwa mara, mimba
kutunga nje ya mfuko wa uzazi, ugumba, kuziba kwa mirija ya uzazi,
madadiliko ya hedhi, kujifungua kabla ya mimba kutimiza muda wake, kansa
ya uume,
Tuesday, 9 December 2014
SOMA FAIDA NA MATUMIZI YA KAROTI.
Faida ya matumizi ya zao la karoti pamoja na faida zinazopatikana kutokana na utumiaji wa zao hilo, ambalo kimsingi mizizi yake ndiyo hasa zao lenyewe.
MTAALAMU WA UTAFITI ALIYEMEMEZWA NA NYOKA AINA YA ANACONDA
Watu nchini Marekani wameelezea
ghadhabu na hasira zao kwenye mitandao ya kijamii kufuatia utafiti wa
mtaalamu wa wanyamapori Paul Roslie kumezwa na Nyoka aina ya Anaconda
ili ku chunguza maumbile ya ndani ya Nyoka huyo.
UNAWEZA KUTUMIA MCHICHA NA SPINACHI KAMA DAWA NA KINGA YA MAGONJWA.
Katika mboga za majani na matunda kuna Kemikali iitwayo nitrate ambayo huboresha afya ya moyo pamoja na kukurinda dhidi ya ugonjwa hatari wa kisukari. Kemikali hii husaidia kurekebisha uzalishaji wa chembe za damu na kusaidia kutanuka na kusinyaa kwa mishipa ya damu na hupatikana asa katika majani ya maboga, spinichi mchicha n.k.
BOFYA HAPA KULIKE PAGE NA WAELIMISHE MARAFIKI.
BOFYA HAPA KULIKE PAGE NA WAELIMISHE MARAFIKI.
HIZI NI HATARI ZA VITAMBI NA UNENE KUPITA KIASI.
Tafiti zinaonyesha kuwa watu wenye vitambi, magonjwa ya presha, mafuta mengi na sukari nyingi mwilini wako katika hatari kupata maambukizi ya njia ya mkojo au magonjwa ya zinaa.
Friday, 28 November 2014
MAZOEZI YANAWEZA KUWASAIDIA WAZEE KUTEMBEA.
Tafiti zinaonyesha kuwa wazee wengi wanaofanya mazoezi ya kutembea na kukimbia huwawezesha kuendelea kuwa na uwezo na afya bora ya viungo pamoja na kupunguza maumimivu ya miguu na magonjwa mengi ya uzeeni au kuwafanya wasizeeke mapema.
Wednesday, 26 November 2014
Saturday, 22 November 2014
KWA WANAOSUMBULIWA NA CHUNUSI.
Uchaguzi wa dawa hutegemea na jinsi ugonjwa ulivyoshambulia uso
(severity), sehemu iliyoharibika huhitaji kufanyiwa usafi wa kutosha
kila siku tena uwe wa ziada zaidi ya kawaida kwa kutumia sabuni zenye
antibaotiki, kubadilisha tabia ya chakula, matumizi ya kemikali za
Sulfur salicylic acid na Resorcinol haisaidii kuondoa chunusi.
KAMA UNASUMBULIWA NA HARUFU MBAYA YA KWAPA.
Harufu
ya kwapa haisababishwi na kutokwa na jasho bali bakiteria wanaovutiwa
na jasho au unyevu chini ya kwapa. Hii umkosesha mtu ujasiri na
kujiamini, au kuwa kero mbele za watu. Ili kwapa lako liwe na harufu
nzuri, kavu na safi fanya yafuatayo
MADHARA YA KULALA NA NGUO ZA NDANI
Madaktari na waalamu wa afya wanashauri
kulala bila nguo za ndani wakati wa usiku ili kuwezesha viungo vya uzazi
kupata hewa ya kutosha ili kuepuka maambukizi ya fangasi na kutoa
harufu mbaya katika sehemu za siri. Kuvaa nguo za ndani wakati wa kulala
usababisha kubana sehemu za siri na joto kupita kiasi ambayo usababisha
joto kupita kiasi na unyevu na kuvutia ukuaji wa fangasi na bakteria
kwa jinsia zote huku pia zikisababisha upungufu wa mbegu za kiume na
harufu mbaya.
Wednesday, 19 November 2014
ROBOTI KUPOTEZA AJIRA ZA WATU ZAIDI YA ASILIMIA 65
Raia wa Uingereza na Australia wako katika hatari ya kupoteza ajira kutokana na mipango ya kazi zao kuchukuliwa na mitambo ya kujiendesha(Roboti). Hii ni mipango ya miaka 20 ijayo ambapo
STRESS NI HATARI ZAIDI KWA WANAWAKE
Mojawapo ya magonjwa yanyoua watu wengi hasa wanawake walio katika umri mdogo ni mshtuko wa moyo ambao husababishwa na kupungua au kukata kwa damu katika moyo na hivyo kusababisha mtu kuanguka ghafla na kupoteza maisha.
Monday, 17 November 2014
KUHUSU MADAKTARI WALIOMUUA MWIZI WA SIMU.
Polisi nchini India wanasema kuwa kikundi cha madaktari kimempiga hadi
kufa mshukiwa wa wizi katika taasisi ya mafunzo ya udaktari mjini
Calcutta mashariki mwa India aliyedaiwa kuiba simu za mkononi.
KUHUSU KANISA LINALOPINGA UTOAJI WA CHANJO.
Umoja wa Mataifa na Shirika la Afya duniani
WHO zimepuzilia mbali hoja ya kanisa katoliki nchini Kenya ambalo
lilipinga kampeni ya utoaji wa Chanjo ya Pepo Punda nchini humo.
Kanisa hilo lilisema chanjo hiyo inayowalenga wanawake kati ya miaka 19 hadi 45 inatumiwa kinyemela na serikali kuzuia kizazi.
Hata hivyo WHO na Umoja wa Mataifa yamesema chanjo hiyo ni salama na imefanyiwa utafiti huru.
BOFYA HAPA KULIKE PAGE NA TUPE MAONI YAKO KUHUSU IMANI HII
Hata hivyo WHO na Umoja wa Mataifa yamesema chanjo hiyo ni salama na imefanyiwa utafiti huru.
BOFYA HAPA KULIKE PAGE NA TUPE MAONI YAKO KUHUSU IMANI HII
TAMBUA MAPEMA SARATANI YA TEZI YA THAIROID (Thyroid Cancer) NA UIEPUKE.
Saratani hii hutokea kwenye tezi ya thyroid iliyopo sehemu ya mbele ya shingo ya mwanadamu ikiwa na sehemu
mbili (lobes) moja kila upande wa shingo na huwapata watu wa umri mbalimbali, kuanzia watoto
mpaka watu wazima.
Watu waliowahi kupigwa mionzi sehemu ya mbele ya shingo na wenye wazazi wenye tatizo ili wapo katika hatari kubwa ya kupata aina hii ya saratani.
Watu waliowahi kupigwa mionzi sehemu ya mbele ya shingo na wenye wazazi wenye tatizo ili wapo katika hatari kubwa ya kupata aina hii ya saratani.
Sunday, 16 November 2014
TIBA NA MAMBO YANAYOSABABISHA KUKOSA CHOO KWA MUDA MREFU.
kukosa choo.
(1 ) Upungufu wa vitamini
mwilini hasa vitamin B .
( 2) Maradhi ndani ya utumbo
mpana.
(3 ) Kula vitu vigumu na vikavu
kama vile vyakula vya ngano .
(4 ) Upungufu wa ulaji matunda
na mboga.
( 5) Kutokunywa maji ya
kutosha .
(6 ) Upungufu wa fibre kwenye
chakula zinazopatikana kwenye
maganda ya mahindi.
(7 ) Ukosefu wa kufanya mazoezi
ya viungo .
(8 ) Msongo wa mawazo na
kutokula vyakula vyenye nyuzi
nyuzi.
BOFYA HAPA KULIKE PAGE NA
WASILIANA NASI KWA MSAADA
ZAIDI.
SOMA HII MUHIMU SANA KWA AFYA YAKO.
Kemikali zinazopatikana katika baadhi ya bidhaa ambazo hutumiwa
kila siku kama vile dawa ya kusugua meno, sabuni na mafuta ya
kujikinga kutokana na miale hatari ya jua zinaweza kuharibu mbegu
za uzazi za wanaume.
kila siku kama vile dawa ya kusugua meno, sabuni na mafuta ya
kujikinga kutokana na miale hatari ya jua zinaweza kuharibu mbegu
za uzazi za wanaume.
KAMA UNASUMBULIWA NA VIDONDA MDOMONI
Vidonda mdomoni husababisha sana maumivu makali pamoja na
kumfanya mtu asiweze kuongea vizuri na watu.Vidonda hivi husababishwa
na kutafuta kwa muda mrefu hasa bigijii au kitu chochote, uvutaji wa sigara,maambukizi ya virusi,
bakteria na fungasi sambamba na ukosefu wa madini na virutubisho vya folic, zinc, vitamin c,vitamin
B12, na madini ya chuma.
Saturday, 15 November 2014
#BREAKING_NEWZ INASIKITISHA SANA MTOTO NURU ALIYETEKWA AUAWA KINYAMA ZANZIBAR
siku ya tukio watoto walikuwa wakicheza nje ya nyumba yao kama wiki moja
iliyo pita ndipo kuna baba mmoja akapita akamwambia mtoto mmojaq wa
kiume amuonyeshe duka lilipo maeneo hayo yule mtoto wa kiume alikataa
ndipo alipo mwambia mtoto wa kike aitwae Nuru nipeleke dukani. yule
mtoto akatangulia mbele yule babu akiwa nyuma. yule mtoto wa mwanzo wa
kiume akakimbia kwa shangazi yake ambaye ni mama wa mtoto Nuru
ndipo mama wa binti huyo alipo acha shuguri zake na kuanza kumsaka binti yake ili kujua ni nani aliye msindikiza dukani lakini hawakuweza kumpata mpaka jana. maeneo yakalibu na nyumba ya ya binti uyo Nuru alipokua anaishi majirani walisikia harufu kama kitu kinachomwa ndipo walipo sogea eneo la tukio na kukuta mwili wa mtoto uyo ukiwa umefunikwa kwa matofali
ndipo mama wa binti huyo alipo acha shuguri zake na kuanza kumsaka binti yake ili kujua ni nani aliye msindikiza dukani lakini hawakuweza kumpata mpaka jana. maeneo yakalibu na nyumba ya ya binti uyo Nuru alipokua anaishi majirani walisikia harufu kama kitu kinachomwa ndipo walipo sogea eneo la tukio na kukuta mwili wa mtoto uyo ukiwa umefunikwa kwa matofali
HIZI NI FAIDA ZA BIZARI KIAFYA KATIKA MBOGA.
Bizari, almaarufu kama kiungo cha chakula, ina ladha ya pilipili na
harufu kali kiasi kwa kunusa. Ni mojawapo ya viungo muhimu kwenye
chakula, hasa pilau. Bizari inatokana na mizizi, ni jamii ya tangawizi.
Bizari hutumika katika kutengeneza curry na haradali (mustard), na ndio huifanya haradali kuwa na rangi yake ya manjano.
Faida za Bizari
- Kuzuia saratani (Cancer)
- Kuzuia Leukemia kwa watoto
- Inasaidia kwenye kuimarisha uzalishaji mbegu za uzazi
- Inaimarisha kinga ya mwili
- Inaimarisha macho na kuyafanya kuwa na afya
- Inasaidia kuondoa mafuta yasiyo mazuri na kushusha kiwango cha kolestroli (Cholesterol)
- Inaondoa mauvimu ya viungio vya mwili
- Inasaidia utendaji kazi wa ini
- Inaimarisha chembe hai za mwili
- Inasaidia kwenye mfumo wa usagaji chakula
- Unasafisha mfumo wa damu mwilini
- Inasaidia kurekebisha kiwango cha sukari mwilini.
MAUMIVU NA KUVIMBA KATIKA SEHEMU ZA HAJA KUBWA
Bawasiri
ni mojawapo ya tatizo ambalo mara nyingi linapotokea humfanya mtu kuwa
na aibu kuelezea au kwenda hospitali ili kupata tiba sahihi. Bawasiri
au hemorrhoids husababishwa na kuvimba kwa mishipa ya damu aina ya vena
katika eneo la mfereji wa haja kubwa.
TAMBUA MADHARA YA KUZAMA CHUMVINI.
Tafiti zimeonyesha kuwa,mdomo wa binadamu ki bacteriologia (bacteriologically) ni mchafu maradufu kuliko sehemu ya uke(vagina).
CHANZO NA TIBA YA KUSINYAA KWA VIUNGO VYA UZAZI
Mwanaume anayepatwa na tatizo hili anapokuja kujigundua
huona kama mabadiliko makubwa yaliyotokea ghafla katika viungo vyake vya siri.
Mwanamke mwenye tatizo hili pia naye huona kama tatizo geni linaloanza ghafla.
Friday, 14 November 2014
SABABU ZA KUTOKA HARUFU MBAYA UKENI NA NAMNA YA KUZUIA.
Wanawake na watu wengi huzani kuwa harufu mbaya itokayo ukeni ni matokeo ya
uchavu na kutojisafisha vizuri… Matokeo yake huongeza jitihada katika
kujisafisha bila mafanikio ya kuondokana na tatizo hili… Kihalisi, badala
kusuluhisha, unapojisafisha zaidi ni unaongeza tatizo badala ya kutatua…
Japokuwa ni kweli mara nyingine inaweza ikawa ni sababu ya uchafu… Ila mimi
naamini walio wengi huwa wanazingatia usafi… Ndo maana nimeona leo tupeane
mawazo juu ya tatizo hili, na kujua namna ya kujikinga
Subscribe to:
Posts (Atom)