Sunday 19 October 2014

BAADHI YA MAMBO YANAYOSABABISHABA TATIZO LA KUKOSA CHOO.

Epuka mambo yafuatayo ambayo ili uweze kuepuka tatizo la kukosa choo.

(1) Upungufu wa vitamini mwilini hasa vitamin B.
 (2) Maradhi ndani ya utumbo mpana. 
(3) Kula vitu vigumu na vikavu kama vile vyakula vya ngano. 
(4) Upungufu wa ulaji matunda na mboga.
 (5) Kutokunywa maji ya kutosha. 
(6) Upungufu wa fibre kwenye chakula zinazopatikana kwenye maganda ya mahindi. 
(7) Ukosefu wa kufanya mazoezi ya viungo.
(8) Msongo wa mawazo na kutokula vyakula vyenye nyuzi nyuzi.
 BOFYA HAPA KULIKE PAGE NA WASILIANA NASI KWA MSAADA ZAIDI.

No comments:

Post a Comment

.