Monday 6 October 2014

NJIA RAHISI ZA KUZUIA HARUFU MBAYA BAADA YA HEDHI.

Kuna njia kuu za kuuweka mwili wako katika hali ya usafi na kuondokana na harufu mbaya  baada ya mwanamke kumaliza hedhi ‘MP’.
Wanawake wengi wamekuwa wakiuliza kupitia kwamba wanawezaje kuwa katika harufu nzuri ya mwili baada ya kumalizana na shombo la MP.
Kwa kufuata maelekezo haya, mwanamke ataweza kuondokana na harufu hiyo mbaya na inayokera.


Maji ya mchele
Kama wewe una tatizo la kutoa harufu baada ya mzunguko wako na wakati mwingine unaweza kuona kama majimaji yenye rangi ya brauni yakiambatana na harufu, tumia maji ya mchele kujiosha sehemu za siri mara kwa mara utamaliza tatizo lote.

Kitunguu swaumu
Kula kitunguu swaumu kadiri unavyoweza, vitakusaidia kuondoa tatizo hili kwani kwa asilimia kubwa linasababishwa na bakteria wa fangasi.

Maziwa mgando
Jitahidi kunywa kwa wingi kwani maziwa haya yana bakteria fulani wazuri kwa kupambana na ‘acidic ph’ iliyopo sehemu za siri.

Kwa njia hizi kama itashindikana kuondoa harufu mbaya tafadhali muone daktari haraka sana huenda una tatizo lingin
CHANZO: GPL
BOFYA HAPA NA LIKE PAGE KUJUA MENGI ZAIDI. 

No comments:

Post a Comment

.