Monday, 13 October 2014

FAHAMU KUHUSU NGIRI YA KIFUA (Heatal hearnia)

Ngiri ya kifua husababiswa na sehemu ya tumbo kujitokeza katika kiwambo(diaphragm) kinachotenganisha tumbo na kifua kutokana na kuongezeka kwa presha kubwa inayosababishwa na uzito mkubwa, ujauzito, kukoa kwa nguvu na muda mrefu, au kuzaliwa na tundu katika kiwambo cha tumbo. Zifuatazo ni dalili zitakazokuwezesha kutambua uwepo wa ugonjwa huu mapema:-


  • Maumivu ya kifua kwa muda mrefu
  • Kichomi (pleurisy) ambacho kinakuwa kikali sana wakati wa kuinama au mtu anapolala chini
  • Matatizo katika kumeza chakula
  • Kupumua kwa shida Kutokana na hiatus hernia kupunguza uwezo wa ufanyaji kazi wa kiwambo hewa (diaphragm).
  • Mapigo ya moyo kwenda kasi Kutokana na mkwaruzo wa neva inayojulikana kama vagus nerve.
  • Kiungulia kwa muda mrefu 
  • LIKE PAGE NA WASILIANA NASI KUJUA MENGI ZAIDI KUHUSU MATIBABU YA UGONJWA HUU 

No comments:

Post a Comment

.