Saratani ya matiti ikigundulika mapema kwa njia ya uchunguzi
na vipimo inatibiwa kabisa. Ewe mama, dada, shangazi, bibi na hata wewe baba wahi mapema
upate ushauri na uchunguzi wa kitaalamu ili usiathiriwe vibaya na ugonjwa huu mara uonapo dalili hizi.
Uvimbe usio wa kawaida katika maziwa au kwapani
Matiti kutoa majimaji
Mabadiliko ya rangi ya ngozi kwenye matiti
Ziwa moja kuwa chini au kuwa kubwa kuliko lingine.
Chuchu kuingia ndai au kuwa na vipele.
BOFYA HAPA KUONA MAZOEZI YANAVYOSAIDIA KUPONYA SARATANI YA MATITI
No comments:
Post a Comment