Monday 6 October 2014

TATIZO LA UMASIKINI LINAVYOATHIRI AFYA KWA KIWANGO KIKUBWA.

Shirika la kupambana na umaskini Duniani (ONE Campeign) limedhibitisha uwepo wa tatizo kubwa la umaskini kusini ,mwa jangwa la sahara ambalo uathiri afya kwa kiwango kikubwa kutokana na  kukosa ufadhili mkubwa katika juhudi za kupambana na umaskini.
Hii inatokana na serIkali nyingi za kiafrika kutotimiza ahadi zao za matumizi katika sekta muhimu za afya na Elimu.
LIKE PAGE NA UNGANA NASI KATIKA JUHUDI ZA KUONDOA UMASIKINI NA KUDUMISHA AFYA BORA.

No comments:

Post a Comment

.