Monday 6 October 2014

POMBE INAVYOATHIRI MFUMO WA UZAZI.

Tafiti nyingi zinaonyesha unywaji wa pombe kupindukia hupunguza idadi na ubora wa mbegu za kiume na kuathiri afya ya uzazi na hatimaye kusababisha utasa.
Hii utokana na kupungua kwa kiasi cha testesterone mwilini pamoja na maambukizi ya magonjwa ya zinaa na upungufu wa lishe na virutubishe mwilini.

No comments:

Post a Comment

.