CHAI YA RANGI INAVYOSAIDIA KUZUIA SARATANI YA KIZAZI.
Hii ni habari njema kwa wanawake wanaopenda kunywa walau kikombe kimoja cha chai nyeusi na juisi ya machungwa kila siku vina virutubisho vya flavonols and flavanones ambavyo upunguza na kuzuia vifo vinavyotokana na saratani ya kizazi kwa wanawake asa wenye umri zaidi ya miaka 50.
No comments:
Post a Comment