Saturday 11 October 2014

KUHUSU MUIGIZAJI ALIYELAZWA WODI YA VICHAA KWA TUHUMA ZA KUBAKWA NA BABA YAKE.

Amanda Bynes ni muigizaji maarufu anayezuiliwa katika wodi ya vichaa jijini Los Angeles kwa uchunguzi wa akili yake kutokana na kutokana na tuhuma kali dhidi ya baba yake kutaka kumbaka alizokuwa akizitoa kupitia mtandao wa twitter. Soma baadhi ya tweets hizo na tupe maoni yako kama kweli ni mgonjwa wa akili kupitia UKURASA WETU WA FACEBOOK

 

No comments:

Post a Comment

.