- Fanya usafi wa mdomo na kunywa maji mengi mara kwa mara
- Kila baada ya chakula weka maji mdomoni na sukutua kwa muda wa sekunde kadhaa ili kuondoa mabaki ya chakula.
- Baada ya kula unaweza kutafna mchanganyiko wa mbegu za iliki na karafuu ambazo husaidia kupunguza harufu mbaya mdomoni
- Pia unaweza kusuuza mdomo kwa kutumia mchanganyiko wa Mdalasini, iliki na karafuu kuua vijidudu na vimelea mbalimbali mdomoni na katika njia ya hewa
- Pia unaweza kusafisha mdomo kwa Juice ya limao kwani huzuia kukua na kuenea kwa bakteria na fungasi
- Kama umefanya yafuatayo na bado tatizo linaendelea muone dakitari kwa matibabu zaidi.
- BOFYA HAPA KULIKE PAGE NA WAELIMISHE MARAFIKI.
Saturday, 25 October 2014
TIBA KWA WANAOTOA HARUFU MBAYA MDOMONI
Harufu
mbaya ya mdomo husababishwa na kutofanya usafi pamoja na maambukizi
sehemu mbalimbali za mdomoni au kwenye njia ya hewa Ili huweze
kupunguza na kuzuia hali hiyo fanya yafuatayo:
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment