Friday 10 October 2014

DALILI ZA UPUMGUFU WA MAJI MWILINI.

Dalili zifuatazo zitakusaidia kugundua kama una upungufu wa maji mwilini.
1. Kuisi kiu mara kwa mara.
2. Kutopata haja ndogo au haja ndogo yenye rangi tofauti.
3. Ngozi kusinyaa au midomo kuwa mikavu.
4. Kuchoka mara kwa marana maumivu ya kichwa
5. Kulia bila kutoa machozi kwa watoto wadogo.
6. Kukosa choo.
BOFYA HAPA KULIKE PAGE NA WASILIANA NASI KWA MSADA ZAIDI. 

No comments:

Post a Comment

.