Tuesday 21 October 2014

MAMBO NANE YANAYOKUWEKA KATIKA HATARI YA KUUGUA UGONJWA WA KISUKARI

Yafuatayo ni mambo 8 yanayoweza kukuweka katika hatari ya kuugua ugonjwa wa kisukari.

1. Kuwa na ndugu (mzazi, kaka au dada) mwenye kisukari

2. Unene wa kupita kiasi

4. Umri wa zaidi ya miaka arobaini na mitano (45)

5. Kuwa shinikizo la juu la damu

6. Kuwa na kiwango kikubwa cha mafuta (triglycerides) kwenye damu

7. Kuwa na kiwango kikubwa cha lehemu (cholesterol) kwenye damu

8. Kutokufanya mazoezi ya kutosha.

BOFYA HAPA KULIKE PAGE NA WASILIANA NASI KWA MSAADA ZAIDI. 

No comments:

Post a Comment

.