Friday 10 October 2014

MUHIMU KUHUSU WALEMAVU WA NGOZI (Albino)


Watu wenye ulemavu wa ngozi wanashauriwa kutokaa juani kwa muda mrefu au kuvaa kofia, makoti na miwani kwa ajili ya kulinda afya ya ngozi na macho yao kwani wana ukosefu wa rangi ya melanini ambayo husaidia kulinda afya ya ngozi.

No comments:

Post a Comment

.