Friday 15 August 2014

MWANAMKE AJINYONGA KATIKA TAMASHA LA MUZIKI

Lisa Williamson, kutoka Bromyard ni mwanamke aliyejinyonnga katika Hampshire lililofanyika siku ya jumamosi katika mji wa Winchester na kushirikisha watu zaidi ya  38,000. Hili ni tukio la pili kutokea katika tamasha hili kwani mwaka jana pia  kijana mmoja aitwaye Ellie Rowe mwenye umri wa miaka 18 alijiua kwa ktumia  dawa za ketamine.

No comments:

Post a Comment

.