Sunday 10 August 2014

CARTOON: IKER CASILLAS AENDELEA KUWA BOSS MADRID


Katuni inayomuonyesha Iker Casillas kama bosi katika timu ya Real madrid kutokana na kuondoka kwa Diego Lopez kwenda AC Milan ambapo pamoja na kusajiliwa kwa kipa mpya Keylor Navas golikipa huyu wa timu ya taifa ya Spain ameendelea kuwa chaguo la kwanza kwa timu ya Real madrid.

No comments:

Post a Comment

.