Sunday 10 August 2014

ARSENAL KUTUMIA PESA NYINGI KULIKO MANCHESTER CITY

Usajili wa hivi karibuni unaofanywa na kocha  Arsene Wenger asa ule wa  Alexis Sanchez and Mesut Ozil unaonyesha kuwa Arsenal inakaribia kuwapiku matajiri wa jiji la Manchester kutokana na kutumia pesa nyingi sana. Hii pia inatokana na Arsenal kumpoteza beki wake Bacar Sagna aliyeuzwa bure katika mabingwa hao wa England waliomsajili pia kwa mkopo Frank lampard kutoka timu ya New York City Fc
SOMA ZAIDI http://duniaadaa.blogspot.com/2014/08/usajili-wa-arsenal-kugharimu-pesa.html

No comments:

Post a Comment

.