MAMBO YANAYOSABABISHA MWANAMKE KUKOSA MTOTO
- Uterine Septum(Mfuko wa uzazi kutengana)
- Blockage(kuziba kwa mirija ya uzazi)
- Polycystic Ovaries( Vimbe nyingi katika ovari)
- Polyps(Tishu za ukuta wa mji wa mimba kujitokeza ndani ya mji wa mimba)
- Infections(Maambukizi)
- Fibroids (Uvimbe)
- Endometriosis(Tishu za mfuko wa uzazi kujishikiza nje ya mfuko wa uzazi)
- Scar tissue(Makovu katika njia ya uzazi)
Haya ni matatizo ambayo 8 ambayo yanaweza kupelekea mwanamke kukosa mtoto. Usikose kutembelea blog hii tutaelezea nini usababisha, dalili zake na matibabu yake.
No comments:
Post a Comment