Kujichua au
kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake
wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako huru kulizungumzia au kukili
kuwa wakizidiwa huwa wanajisaidia…….
Wakati mwingine
mtu anashindwa kabisa kupata usingizi mpaka upige moja-mbili ndio
usingizi unakuja au asubuhi unajisikia mzito kuamka kitandani mpaka
upige moja ndio nguvu zinakuja…hasa kama umezoea dozi za maana lakini
sasa mpenzi hayupo karibu.
1. Kupungua kwa hamu ya kufanya mapenzi.
Athari kubwa ya
kupiga puri ni kuwa hupunguza kwa kiasi kikubwa hisia za mapenzi za
mwanaume na kumfanya awe mtumwa sawa na mtumwa wa pombe.
2. Huathiri mfumo mzima wa kufanya mapenzi na kumfanya apizi haraka sana ( ndani ya dakika 3 tu).
Hii inatokana
na kweli kuwa mwili wako unakuwa umeuzoeza kutoa mbegu kwa dakika chache
kupitia njia ya kujichua.Tambua kuwa hakuna kitu wanawake wanachukia
kama kupizi mapema.
3.Humfanya mwanaume ashindwe kurudia ROUND YA PILI NA KUENDELEA....
Hakuna mwanaume
anayeweza kujichua kwa round tatu mfululiza hapo hapo....Kwa kuwa mwili
unakuwa umeuzoeza kupiga round moja tu,tena fasta,ndivyo itakavyo kuwa
hata ukiwa na mpenzi wako.
Amini au usiamini.Ukweli ni kwaba hutaweza kurudia round kaka!!!...Vinginevyo upewe masaa kadhaa ya kupumzika.
4.Humfanya mwanaume kuwa MTUMWA wa kujichua.
Athari nyingine
ya kujichua ni kuwa humfanya mwanaume awe mtumwa.Kama alizoea kupiga
puri wakati wa kulala,au asubuhi, au mchana ni lazima afanye hivyo kila
siku....Haijalishi yuko wapi.Hata angekuwa na wenzake,ni lazima
atakimbilia hata chooni ili mradi afanye hivyo.
5.Humfanya mwanaume ashindwe kabisa kutoa bao.
Hii hutokea kwa mwanaume aliyezoea kupiga puri kwa miaka kadhaa.
Jamani,nafikiri
mtakubaliana na mimi kuwa VIDOLE ni tofaut kabisa na Njia ya uzazi wa
mwanamke.Kwanza ni vigumu na havina maji maji.Hali hii humfanya mwanaume
ashindwe kupizi au kusimamisha, na hilo ni tatizo.
Sasa inapotokea
ukafanya mapenzi live baada ya kutoka katika kipindi kirefu cha kupiga
puri,mwili hushindwa kuendana na mabadiliko hayo.
6 Ni rahisi kupatwa na maradhi kama KANSA YA KORODANI.Kwa kitaalamu inaitwa PROSTATE CANCER.
Gonjwa hili hushambulia mirija ya chini ya uume na huufanya mkojo kuwa na mrundikano mwingi wa damu.
IMETOKA Jamii Forums
tiba yake nini.au itkuwa psychropeuthical treatment? au kuna antbiotics
ReplyDeleteMambo poa sana nimeridhika na maelezo ya waziwazi
ReplyDelete