Monday 18 August 2014

FAIDA ZA MWANAUME KUTAHIRIWA

Kutahiriwa ni kitendo cha kuondoa govi au ngozi ya mbele juu inayofunika kichwa cha uume. Hili ni jambo lililokuwa linafanyika kale kwa imani za mira na dini lakini siku hizi hutumika kiafya kwa ajili ya kumkinga mwanaume na magonjwa na maambukizi mbali mbali.

  • Inarahisisha kusafisha uume
  •  Inapunguza uwewzekano wa kupata maambukizi ya njia ya mkojo(U.T.I)
  • Inapunguza uwezekano wa kupata magonjwa ya zinaa, malengelenge  na UKIMWI
  •  Inapunguza uwezekano wa kupata kansa ya uume na kumpunguzia mwenza uwezekano wa kupata kansa ya shingo ya kizazi
  • Inapunguza hatari ya ngozi kujishikiza kwenye kichwa cha uume moja kwa moja(phimosis)
KWA MSAADA ZAIDI NA TIBA USIKOSE KUTEMBELEA BLOG HII KILA SIKU.

No comments:

Post a Comment

.